Huu ndo ukweli toka moyoni mwangu!!!!

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
Habari wanajamvi!!! Hasa wa mambo ya mapenzi(MMU)

.Huenda tukawa tunafana kimahisia mimi na wewe,
.huenda pia huu ndo ukweli halisi hata kwako,
.huenda ilishawahi kujadiliwa humu jamvini,
.huenda ukisoma thread hii utakereka,
But I don care......

vyovyote vile itakavyokuwa na iwe,

nawachukia sana wanawake na wanaume wenye tabia ya kusapoti suala la utoaji wa MIMBA,

I dont care either you are young, student or not ready to have a child, but

kwa nini ulifanya wakati unajua kabisa ikitokea bahati mbaya utaitoa?

we mwanaume kwa nini umshauri mpenzi wako, rafiki yako, jirani, mwanao akaitoe mimba?

we mwanamke kwa nini ufanye hivyo?

Watu hamuogopi dhambi?

Watu hatuna huruma na binadamu wenzetu wachanga?

kama ni kuzidiwa na mahisia si utumie njia mbadala badala ya kuingia nyama nyama?

Assume we ambae leo una mafanikio na unayafurahia kama ndo wangekuwa wamekutoa?

kwa nini watu wanakuwa wabishi?
Kweli huwa sipendi, na nimechukua maamuzi haya baada ya kusoma gazeti mmoja hivi lililokuwa limetoa taarifa ya Masupa star wa bongo akiwemo Maimartha, Wema, Baby Madaha, Aunt Ezekiel ambao wote waliripotiwa kubeba ujauzito lakini mwisho wa siku hatuoni kitu,

Inaniboa sana na ninatamani ningekuwa na kibali cha kuwaangamiza niwapige wote kiberiti.

Wanajamvi kama familia mmoja hebu tujaribu kufikiri kiukubwa kuhusu suala hili.

toa ushauri na kero yako pamoja na mchango wako wa mawazo jamvini ili tukabiliana na hili suala linalolikumba jamii zetu,

asanteni
wenu

1stBorn

Ungechangia tu haya yote kwenye thread inayoendelea hapo nje kuhusu utoaji mimba!

• Thanks
Reactions: FiQ

Tupo pamoja 1st Born!!

unajua w2 2mejisahau sana ktk swala la mapenz,yap na ndo mana yote hya yanatokea.nachukia sana habari hzo yn cpend kabisa.GOD HAVE MERCY ON US.

mngespecify utoaji mimba kwa watu gani? kuna ule wa hiari na ule wa lazima
hivi shawahisikia utoaji mimba ili kuokoa maisah ya mama? Utoaji mimba kwa mimba inayohatarisha maisha ya mbebaji mimba? utoaji mimba kwa waliofanyiwa group rape/rape?? hebu tufafanue please..........................sisupport utoaji mimba but ninaelewa kuwa sometimes kuna mazingira yanayoeleweka kwa tendo hilo!

kwenye maelezo nimetoa baadhi ya mifano, hivi Baby madaha anaweza akawa amebeba mimba inayohatarisha maisha?
Maimatha je?
Unataka kusema Wema sepetu alibakwa???

nadhani ushanisoma kuwa ni aina gani ninayozungumzia.

Ndio kina nani hao?? Besides sina uhakika kama walikuwa na mimba na wala kama walitoa nadhani ndio maana nikamiss target yako
Ubarikiwe
Am out of here

• Thanks
Reactions: FiQ
Ndio kina nani hao?? Besides sina uhakika kama walikuwa na mimba na wala kama walitoa nadhani ndio maana nikamiss target yako

Ubarikiwe

Am out of here

hao ni masupasta ambao mara nyingi hufuatiliwa na vyombo vya habari, inasemekana walipata mimba lakini wakazitoa

source: ijumaa wikienda mei 23-29 2011

• Thanks
Reactions: FiQ
Nadhani utoaji mimba unaopingwa na watu wengi ni ule wa 'convinience'. Mtu unangonoka kizembe zembe halafu inanasa mnakwepa majukumu, mnachoropoa. Huu ndo ule utoaji ambao watu wengi hushiriki.

Ni mimba ngapi ambazo zinatungwa kutokana na kubakwa? Mwenye takwimu aweke hapa tuzichambue. Sidhani kama zitafikia hata robo ya mimba za starehe.

Hata zile zinazotolewa kwa ajili ya kuhatarisha afya ya mama nazo si nyingi kulinganisha na hizi za starehe.

Nani anayebisha kuwa mimba nyingi zinazotolewa ni zile za starehe na si zile za kubakwa au kuhatarisha maisha ya mama? Anayebisha na ajitokeze....niko tayari kwa mpambano.

Acheni kuchoropoa mimba kama hamna sababu za msingi. Mnavyofanya ni vibaya.

PIA KUNA HAJA YA KU LOBBY ZITUNGWE SHERIA ZA SAFEN HAVEN! INATIA HURUMA SANA KUONA VICHANGA VIMETUPWA KAMA VILE TAKATAKA NA SI BINADAMU. I WILL WORK ON THIS.

First Born kikubwa ambacho inabidi ujue ni kua wanaoongoza kwa kutoa mimba
sio wanao support... Cha ajabu wanao support wako makini saana katika suala
zima la kuzuia mimba hivo kwao ule mtihani wa kutoa huwakwepa saaana....

sawa kabisa, lakini kwa nini mtu amshauri mwingine akatoe mimba ilhali akijua ni dhambi na ni kinyume na sheria? Na kwa nini mwingine apende kutoa wakati alifanya kwa hiari?

Kwa kuwasaidia wale wasioelewa kiswahili vizuri, hii kitu wazungu wanaita abortion (ingawa juzi maeneo ya kiborloni nilikutana na mdada jina lake halisi anaitwa abortion pia).

Enhee tuendeleeni na mjadala.

wachaga bwana!!!

kwenye maelezo nimetoa baadhi ya mifano, hivi Baby madaha anaweza akawa amebeba mimba inayohatarisha maisha?

Maimatha je?

Unataka kusema Wema sepetu alibakwa???

nadhani ushanisoma kuwa ni aina gani ninayozungumzia.

kwani 1st born mimba inayohatarisha maisha we unaelewa vipi? Na kubakwa je?

Similar Discussions

Back
Top Bottom