Huu ndio uwozo wa TCU

kelvin82

Member
Oct 16, 2014
69
10
Mm naomba tujaribu kuangalia uwozo unao fanywa na TCU....kuna dada mmoja aliomba bsc of technology in agriculture engineering...aliomba st joseph kupitia TCU tawi la songea kama huamini angalia (modesta nyagawa)...TCU wakampanga kule kule tarehe ya kureport ilikuwa 6/10/2014 alienda kureport alipo fika ple akambiwa hiyo kozi pale haipo aende dar office za TCU tareh 8/10/2014 akaenda akiwa na mzazi wake mpka TCU walipo fika pale TCU wakamwambia aende SUA akacheck kama kozi hio ina nafasi pale...alipo fika SUA tareh 9/10/2014 akakuta kuna ziara ya waziri mkuu akashindwa kuongea nao kesho yake aliambiwa nafasi zimejaa arudi tena TCU

Sasa jamani mm najiuliza usumbufu wote huo gharama hizo nani atalipa? Kubadili kozi kupitia TCU mda umeisha kwa walivyo mzungusha na pale walikuwa wengi walio fika kutoka mwanza na mikoa mingne ya mbali sasa hao watafanyaje aliacha pale watu wamekata tamaa ya kusoma tena chuo cha kushangaza na mkopo walikuwa wamepata sasa jamani huo mkopo wapi utaendaaaa? Je TCU WAliwezaje kuweka kozi kwenye kitabu chao bila kuprove hapa wana dhihirisha nn jamni duu

Cha kushangaza zaidi walitoa proccess za kuhama chuo na leo majibu wametoa cha kuchekesha zaidi walio jaza form yao na kuscan hawajapata nafasi zaidi walio enda na barua kutoka chuo husika ndo wengi wamepata nafasi...sasa kulikuwa na maana gani ya kutoa proccess zile pale....huoni kama wenye pesa ndo wamehamishwa?

Tazama mtu kapangwa law sahiz kapelekwa medicn jamani TCU kulikoni uwozo wao ni mkubwa ambao hauvumiliki kabisa najua uwoza ni mkubwa kama unao na ww weka hapa tujue madudu ya TCU

nilicho jifunza ni kwamba wafanyakazi wa TCU hawana elimu ya kutosha kama sio wote ni FORM FOUR amini usiamini kama kile kikao cha TCU Na wakuu wa vyuo kisinge kuwepo basi tunge shuhudia uwozo zaid

Ni hayo
 
Tuko wengi tu,mimi nimepangwa MoCU(zamani Muccobs) nimefika kureport lakini hadi leo chuo hawana jina langu
 
Back
Top Bottom