Huu mnada magari tra

Cassava

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
282
36
Wakuu heshima mbele, katika pita pita maeneo ya mjini, nimenunua gazeti la
daily news la leo tar 13. Katika gazeti hilo kuna tangazo la mnada wa magari ambayo nadhani waagizaji wameshindwa kuyatoa.

Wakuu naomba kujua je, bei zao huwa sawa na kuagiza JPN? ukinunua gari hapo unalipia ushuru wa gari upya? magari hayo huwa yanakaa hapo bandarin kwa siku ngapi hafu yanapigwa mnada?

Naomba mwenye uzoefu na minada hiyo anijulishe nahisi naweza pata ninayotaka badala ya kuagiza.
 
Ukinunua bei zao ziko included na ushuru, zamani zilikuwa cheap, baada ya wafanya biashara ya magari (show rooms) kuingia huko na Kuwa corrupt ma afisa wa TRA zimepanda, inafikia gari linashindikana kuuzika eti bei haijafikia lengo wakati zamani mtu wa mwisho ndiyo anapewa gari, labda upate gari lililopata ajari ndiyo linakuwa cheap.
 
Back
Top Bottom