Huu mchongo wa Ukraine ukitiki tushtuane jamani, mjini pangumu

Get rich or die trying
Kuzaliwa ni mara moja na vivyo hivyo kufa,

Unaweza kufika tu Ukraine mrusi akarudisha majeshi yake na kuyaachi yale majimbo na ushindi ukapatikana kiurahisi.

Ukalipwa mpunga wako na tena ukachagua mwenyewe kurudi huku bongo bahati mbaya au kubakia huko ardhi yenye dheruji ya barafu bure, hakuna jua kali kama huku jehanamu ukalima huko na pembeni unajilia mbususu za ki-ukraine taratibuuuuu....
 
Mimi niko kwenye system nikingia road adhabu yangu ni kubwa kuliko wengine.
Walio nje ya system ndio waanze sisi tutawaunga mkono.
Safi.

Tena nawashauli hawa walioko kwenye system na mshahara wake wa muda wote wa ajira hadi kustaafu haulingani na gari la mbunge basi waunge tera maana hiyo siyo kazi ni utumwa...
 
Kama mtu anaweza kwenda kupigania nchi ya wenzake kisa pesa huku nchi yake inapigwa na wachache anashindwa kuitetea maana yake nini?
Maana yake ni kwamba hawa vijana wapo radhi kugawa tigo zao Ili tu wapate pesa.
Asa km hakuna wa kukaa front line, vijana ambao hawana lolote zaidi ya nguvu zao wafanyeje?. Ni bora kufa vitani ukipambana kutafuta pesa kuliko kufia kwenye hospital ya CCM isiyokuwa na dawa.
 
Kuzaliwa ni mara moja na vivyo hivyo kufa,

Unaweza kufika tu Ukraine mrusi akarudisha majeshi yake na kuyaachi yale majimbo na ushindi ukapatikana kiurahisi.

Ukalipwa mpunga wako na tena ukachagua mwenyewe kurudi huku bongo bahati mbaya au kubakia huko ardhi yenye dheruji ya barafu bure, hakuna jua kali kama huku jehanamu ukalima huko na pembeni unajilia mbususu za ki-ukraine taratibuuuuu....
Tena unaishi kwa heshima kama mpigania uhuru
 
Back
Top Bottom