🤜🤛..Maisha ya bongo ni vita tosha...
Ukiweza kuishi kitaa bongo, wewe ni Lieutenant ulaya...
Tupeni mchongo huo
Kama mtu anaweza kwenda kupigania nchi ya wenzake kisa pesa huku nchi yake inapigwa na wachache anashindwa kuitetea maana yake nini?
Maana yake ni kwamba hawa vijana wapo radhi kugawa tigo zao Ili tu wapate pesa.
safi sana mwana Mara usisahau zile dawa za kienyeji za kugeuza risasi na mabomu kuwa maji...Mkuu huo mchongo ukitiki usianiche mwanao wa faida!
Haya mambo ndiyo napendaga sana!
Get rich or die trying🤜🤛..
Ili hawa wazee wanaong'ang'ania vyeo vya mchongo na kuwalazimisha vijana kujiajiri waone kwa vitendo kwamba vijana wakiamua jambo lao hawahitaji connection....
Ilo waachie watakaobakia dunia, maana wakati huo hautakuwa na ufahamu wa jambo hilo....Hiyo inaitwa watazika au tutasafirisha,
Mimi niko kwenye system nikingia road adhabu yangu ni kubwa kuliko wengine.Mkuu upo Tayari mimi na wewe kesho tuingie Barabarani na mabango yenye maneno makali?
Kuzaliwa ni mara moja na vivyo hivyo kufa,Get rich or die trying
Safi.Mimi niko kwenye system nikingia road adhabu yangu ni kubwa kuliko wengine.
Walio nje ya system ndio waanze sisi tutawaunga mkono.
Asa km hakuna wa kukaa front line, vijana ambao hawana lolote zaidi ya nguvu zao wafanyeje?. Ni bora kufa vitani ukipambana kutafuta pesa kuliko kufia kwenye hospital ya CCM isiyokuwa na dawa.Kama mtu anaweza kwenda kupigania nchi ya wenzake kisa pesa huku nchi yake inapigwa na wachache anashindwa kuitetea maana yake nini?
Maana yake ni kwamba hawa vijana wapo radhi kugawa tigo zao Ili tu wapate pesa.
Usiende kufa mkuu tunahitaji kura zenu 😄 🤣Potelea pote
Nenda tu ukipata mtonyoSijawahi kupiga kura na sina muda huo
Ingekuwa ni kwenda kupigana upande wa Russia hapo sawa ila Ukraine vijana nendeni mkafeMmeanza tena, halafu mkifa mseme mengine
Russians hawana utani
Tena unaishi kwa heshima kama mpigania uhuruKuzaliwa ni mara moja na vivyo hivyo kufa,
Unaweza kufika tu Ukraine mrusi akarudisha majeshi yake na kuyaachi yale majimbo na ushindi ukapatikana kiurahisi.
Ukalipwa mpunga wako na tena ukachagua mwenyewe kurudi huku bongo bahati mbaya au kubakia huko ardhi yenye dheruji ya barafu bure, hakuna jua kali kama huku jehanamu ukalima huko na pembeni unajilia mbususu za ki-ukraine taratibuuuuu....
Wakafe tu ila wanaojifanya wanawapenda sana ndugu zetu wanaofia nje kuliko wanaouwawa kwa ajali za kujitakia na wale waizi wa mahindi wanaochomwa moto na Watz wenyewe basi tusubiri huruma za kinafiki kama kawaida ya WabongoIngekuwa ni kwenda kupigana upande wa Russia hapo sawa ila Ukraine vijana nendeni mkafe
You are not a fighter! You are a slave! Ungekuwa fighter unge fight against slavery unayoizungumzia (yaani iliyopo hapa kwako)! Kama ukienda kupigana kwa manufaa ya wa'Ukrain' you are still a SLAVE!Better die fighting than living as a slave...