LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,264
- 27,623
Mchezo wa mpira wa miguu ni mchezo wa makosa.
Makosa yanaweza kufanywa na yoyote anae husika moja kwa moja na kinacho fanyika ndani ya pitch.
Makosa yanaweza kufanywa na mchezaji.
Makosa yanaweza kufanywa na kocha (kwa kupanga kikosi vibaya au kufanya sub isiyo merit)
Makosa yanaweza kufanywa na refa au lines man.
Jukumu na wajibu wa kila mchezaji ndani ya uwanja ni kuyatumia vizuri makosa hayo kwa faida ya timu yake achilia mbali kuwalazimisha washindani wake pamoja na refa na lines man kufanya makosa hayo ili aweze kuyatumia vizuri.
Kwenye mechi ya jana, Refa kafanya makosa, Yanga wameyatumia vizuri makosa yaliyo fanywa na refa.
Yanga wasilaumiwe KWA kuyatumia vizuri makosa yaliyo fanywa na refa uwanjani.
Ulaumiwe mchezo.