Hussein Pamba Kali anauza nguo tu?

Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
6,819
9,171
Habari wadau,

Kuna jamaa anaitwa Hussein Pamba Kali ana maduka ya kuuza nguo sehemu mbali mbali, huyu jamaa muda mwingi yeye anatembelea maduka yake na Range Rover Vogue ya kisasa.

Cha kujiuliza, ni nguo tu ndio zinampa utajiri au mambo yetu ya kuuza Dona? Kuna jamaa naye alikuja na style hizi hizi za HPK ndugu Tipo Zizzou Fashion, ila naye amedondokea pua.
 
Washawishi kwanza Wanadaslam(wateja) watembee uchi mwaka mzima ndo tutajua kama jeuri yake ni hayo maduka. Vinginevyo mkuu unatuchosha vichwa tu!
Sana sana cha kukushaauri ni kuachana na mambo ya mtu jali hamsini zako.
 
Duh! Inawezekana au la
Maana % 60 ya madada wanaomiliki maduka ya nguo kinondoni wengi wao ni mapunda na wanatumika kupeleka ngada china, na kuna wengine wanatumia mtaji yao wenyewe.
Siku zote huwa nasema Hata kama hapa tanzania utalindwa lkn iko siku huko nje utanasa tu kukamatwa na kufungwa.
Mfano fatma mchina dem wa tevez alikuwa na duka pale konondoni....Ila alienda Italy na huko wamemdaka na yuko ndani!
Narudia tena % 60 ya maduka ya nguo yanayomilikiwa na wadada na wamama wote ni wabebaji unga au wanajihusisha na ngada
Na wengi wao wamekulaa vitungu china, Brazil, south afrika etc

Ovaaaa
 
Habari wadau,

Kuna jamaa anaitwa Hussein Pamba Kali ana maduka ya kuuza nguo sehemu mbali mbali, huyu jamaa muda mwingi yeye anatembelea maduka yake na Range Rover Vogue ya kisiasa.

Cha kujiuliza, ni nguo tu ndio zinampa utajiri au mambo yetu ya kuuza Dona? Kuna jamaa naye alikuja na style hizi hizi za HPK ndugu Tipo Zizzou Fashion, ila naye amedondokea pua.
Kwani uamini kuwa biashara ya nguo inaweza kukupa hela ya gari kama hilo?
 
Habari wadau,Kuna jamaa anaitwa Hussein Pamba Kali ana maduka ya kuuza nguo sehemu mbali mbali, huyu jamaa muda mwingi yeye anatembelea maduka yake na Range Rover Vogue ya kisiasa. Cha kujiuliza, ni nguo tu ndio zinampa utajiri au mambo yetu ya kuuza Dona? Kuna jamaa naye alikuja na style hizi hizi za HPK ndugu Tipo Zizzou Fashion, ila naye amedondokea pua.
Gari la kisiasa? Mwenye picha ya hilo gari aweke.
 
Na wewe azisha kiduka ch nguo uone kama utanunua hata kivitz.
Wamiliki wengi wa maduka ya nguo ya kike na kiume wengi wao ni watu wa mitkasi....tu
Ndomana mwisho wa siku utaskia flani mwenye duka "a" kakamatwa china kwa kosa la kusafirisha u buy

Ovaaa
 
Habari wadau,

Kuna jamaa anaitwa Hussein Pamba Kali ana maduka ya kuuza nguo sehemu mbali mbali, huyu jamaa muda mwingi yeye anatembelea maduka yake na Range Rover Vogue ya kisiasa.

Cha kujiuliza, ni nguo tu ndio zinampa utajiri au mambo yetu ya kuuza Dona? Kuna jamaa naye alikuja na style hizi hizi za HPK ndugu Tipo Zizzou Fashion, ila naye amedondokea pua.

Asante kwa taarifa!Kama ni jipu TUTALITUMBUA
 
hussein mkangala mtoto wa mjini kazaliwa magomeni mikumi mtaani kwetu anajulikana kuwa ni muuza unga ila hakuna mwenye ushahidi alianza na kaduka kinondoni manyanya,sasa ana maduka kariakoo,kinondoni,sinza na tegeta.namfahamu vizuri sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom