Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

Mnalalamika ujinga mtupu mbona tunaagiza ngano nje,sukari nje nk. Mchele bongo bei ghali ndomana huko Dodoma wali kwao ilikuwa ni anasa Sasa wanakuletea kutoka kwao maana ni msaada kwao umewazidia Sasa hapo unalialia Nini...
Waafrika wengi wanaujinga wahali ya juu mmno ukae ukijua kunawatu wanashinda na kulala njaa kwa kukosa chakula Sasa huo Mchele mwingi ukowapi?? SI bei zingeshuka na kilamtu angenunua!! Ujinga sana ninyi
Umeajiriwa huko nini. Ni yupi mbinga angetoa au kupokea
 
Huu ni uwekezaji mkubwa wa Marekani kuzalisha kizazi cha mashoga. Hii nchi imekuwa rahisi sana kuingilika na kila mtu. Nachelea kusema Serikali ni dhaifu sana
Hivi Sisi watanzania ni wakupewa chakula kweli Wakati tunalisha Kenya, South Sudan na wengine
Hata ukiwa mjinga si unaelewa kuna kitu nyuma ya pazia
Bibi mkubwa anafanya kazi ya kuzunguka tu.
Mafuta ya alizeti yamejaa nchi nzima Mnataka Yale ya kuletea watoto wa kiume hamu ya kupandwa
Mmeamua kuangamiza Wanaume kabisa jamani
Kwani HAKI Sawa ni Lazima Wanaume nao waolewe?
Mahindi yamejaa kila upande Nani kusema kuna njaa
Kwa nini Serikali inashindwa kuwalinda wananchi wake? Inaniuma Sana
Viongozi wa nchi mnanunuliwa kama Njugu
Tanzania kitakuwa kitovu cha Mashoga
MTANIKUMBUKA
 
Dar es Salaam. Saa chache baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, amefunguka akisema waagizaji hawakupaswa kuleta mchele huo kutoka nje, kwa kuwa Tanzania ina hazina ya mchele.

Akaongeza kuwa kama ni virutubisho, bado shirika lililoagiza mchele huo lingenunua mchele wa ndani na kuwaomba wafadhili wao wauongezee virutubisho hapahapa nchini, huku kila mtu akiona kuliko kuagiza kutoka nje ya nchi.

Mjadala wa mchele huo ulianzia katika mtandao wa X, baada ya ukurasa wa Ubalozi wa Marekani kuweka picha iliyokuwa ikionyesha viroba vya mchele huo, huku ikiambatisha na ujumbe uliosomeka:

"Chini ya mpango wa 'Pamoja Tuwalishe', Wizara ya Kilimo ya Marekani, kwa ushirikiano na Jumuiya za Kimataifa, imetoa msaada wa kwanza wa mchele ulioongezwa virutubisho, maharage na mafuta ya alizeti kutoka kwa wakulima wa Marekani moja kwa moja hadi shuleni katika eneo la Dodoma nchini Tanzania."

Ujumbe huo uliendelea kueleza kuwa msaada huo unalenga zaidi kutoa milo yenye lishe kwa wanafunzi wa shule zaidi ya 300 zinazoshiriki, huku ukieleza kuwa mbali na mchele huo, pia wataanzisha bustani za shule na kufunza mbinu za kuvuna.

Alichosema Bashe

Akizungumzia suala hilo wakati akielezea miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan na yale aliyoyafanya katika sekta ya kilimo, Bashe amesema Tanzania inazalisha mchele na maharagwe kwa kiwango cha kutosha.

"Tumewaambia ile NGO, waambieni Wamarekani kuwa mchele upo maharagwe yapo nchi hii, zile fedha wanazotumia kuwapa wakulima wa Marekani wawape Watanzania. Tununue mchele kutoka Tanzania, maharage kutoka hapa Tanzania, halafu hivyo virutubisho mnavyotaka kuweka muwekewe hapahapa Tanzania wote tunaona," amesema Bashe na kuongeza kuwa ameieleza NGO hiyo kuwa Tanzania inajitosheleza kwa chakula.

Maoni mtandaoni

Elisha Mbise alitoa maoni yake katika ujumbe ulio katika ukurasa wa Ubalozi wa Marekani akiandika: "Tanzania tuna chakula cha kutosha...mchele umejaa kila mahali. Walete vitu vya maana, wajenge maabara, walete vifaa vya hospitali, vifaa vya kufundishia, vyuo vya ufundi. Hivi ndivyo vitu vinavyoweza kugusa elimu na afya kama kweli wana nia na kusaidia hayo maeneo.’’

Naye Dani Zayumba aliandika: "Tanzania hatuhitaji chakula cha misaada bali tunahitaji mabadiliko ya mitalaa ya elimu, ili tuweze kujilisha wenyewe. Mnaweza kufananisha mchele wa Mbeya na Marekani kweli?’’

Credit: Mwananchi digital

View attachment 2936741

Hapo awali Balozi wa Marekani ukiandika kwenye Mtandao wa X Kwamba, "Chini ya mpango wa 'Pamoja Tuwalishe', Wizara ya Kilimo ya Marekani, kwa ushirikiano na Jumuiya za Kimataifa, imetoa msaada wa kwanza wa mchele ulioongezwa virutubisho, maharage na mafuta ya alizeti kutoka kwa wakulima wa Marekani moja kwa moja hadi shuleni katika eneo la Dodoma nchini Tanzania. Zaidi ya kutoa milo yenye lishe, wanafunzi katika shule zaidi ya 300 zinazoshiriki, pia wataanzisha bustani za shule, na kujifunza mbinu za kuvuna maji ya mvua. Ikiwa ni mfano kamili unaoweza kuigwa, programu hii inaakisi ahadi na dhamira ya dhati ya Marekani ya kukuza afya, elimu, na fursa kwa watoto kote ulimwenguni."
View attachment 2936743View attachment 2936744
Ukombozi wa Tanzania upo Mikononi mwa Watanzania wenyewe.
Ukombozi wa African upo Mikononi mwa waafrika Wenyewe.
"Ee Mungu tusaidie kufungua frikra zetu tuondokane na uvivu wa kufikiri na utupatie moyo wa kizalendo kwa kufanya kazi kwa bidii pasipo kunufaisha matumbo yetu iwe kwaajili ya ustawi wa vizazi vyetu vya baadae wapate kuishi Tanzania iliyo Salama" Amina.
 
Tembeaa vijijini kijana, usikae mjini ukadhani kilamtu anakula na kushiba!! Kunavijiji hali ni mbaya mmno kushinda njaa nikawaida mmno watu wanakunywa ujii siku nzima!! Tembeaa nimejionea ndomana napata hasira!!
Wewe hujawahi saidia watu chakula hata siku moja?? Ndomana hujui kama Kuna wenyeshida...shameless!!
Wewe umejuaje kama nakaa mjini? Ok,vijijini kuna njaa. Sasa huo msaada kwanini usielekezwe vijijini kwenye njaa?
Unafikiri kwanini wanawalenga watoto?
Jumlisha issues za chanjo kwa ajili ya magonjwa,mlango wa kizazi nk.
Nakuja kaka
 
Kwa nini huo msaada wa chakula hawajapeleka kwenye nchi ambazo zimepigwa na njaa kama somalia ambako watoto wanakufa kwa utapia mlo huko ndio wanahitaji lishe sio hapa Tanzania, yani wanataka kusema kwamba hata swala la lishe na lenyewe tumeshindwa hadi tupewe msaada haya ni matusi, Kuna walakini mkubwa kwenye huo msaada usiokua na maana waupime vizuri wasije kuingiza watoto matatizoni tena ikiwezekana urudishwe ulikotoka
Bro, huo msaada uliotolewa na Marekani kwa Tanzania wala hauwezi kuizuia Marekani kuzipa msaada nchi hizo ulizozitaja. Ni juzi tu Marekani amemwaga Tani elfu 49 za Chakula cha Msaada huko Ethiopia.
 
Tena angekuwa uncle Magu viongozi wa hiyo NGO wangekula mboko, wanataka kutuulia kizazi chetu shupavu. Hii nchi ina watu wa hovyo sana, ilitakiwa wapewe masaa kadhaa huo mchele uwe umechomwa na TBS
J.lokole anasemaje kwani
Vo bado unafatilia vipindi vyake

Ova
 
Watoto 300 wakila huu mchele 100 mpaka 200 watakuwa jamii ya upinde. Virutubisho vya upinde lazima watoto wawe target kuu.
Sinza huko wamejaaa upinde kibao na mnaishi nao
Media zenu tu wamejaaa upinde kibao pia
Vp hao wameletwa na wazungu

Ova
 
Ugali wa njano hauwezi kukosa vitamini. Soma hiyo.

Nutritional Value of Yellow Maize: Yellow maize is rich in essential nutrients, making it a valuable source of energy, protein, vitamins, and minerals. The grain contains high levels of carbohydrates, primarily in the form of starch, which serves as a vital energy source.
vya bagombe donke na bifaranga vya kuku. Tu
 
Back
Top Bottom