Ugomvi na ushoga usiwe kigezo cha watoto kukosa mchele wenye virutubisho, tutaonekana majuha

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,620
46,261
Maoni mengi ya wabongo wengi mtandaoni kuhusu msaada wa mchele wenye virutubisho kutoka Marekani ni hofu yao isiyo na mashiko "obsession" au ugomvi na ushoga.

Wengi wanaupinga msaada huo eti kwa sababu unaweza kuwa na viambata vya kuwafanya wanafunzi watakaoula kugeuka kwa mashoga! Yani katika sababu zote hii ndio imetawala na imekuwa msingi wa upingaji wao wa mchele huo!

Jamii inayoweza kuwaza mambo kwa muono huo wa ngono tu katika jambo ambalo halihusiani kabisa hasa katika ulimwengu wa leo ni jamii ambayo imeharibika sana kiakili na inahitaji kupewa msaada wa kila kitu, sio wa mchele tu bali hata wa afya ya akili.

Ni ujuha watoto wasipiwe mchele wa virutubisho kwa "obsession" na conspiracy ushoga tu. Kama hao mabeberu wanaweza kufanya hivyo katika mchele wanashindwa vipi kufanya katika mafuta ya kula, ngano, tambi, apples, vipodozi, chanjo na dawa kutoka nchi zao au makampuni yao?

Pia soma Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID
 
Maoni mengi ya wabongo wengi mtandaoni kuhusu msaada wa mchele wenye virutubisho kutoka Marekani ni hofu yao isiyo na mashiko "obsession" au ugomvi na ushoga.

Wengi wanaupinga msaada huo eti kwa sababu unaweza kuwa na viambata vya kuwafanya wanafunzi watakaoula kugeuka kwa mashoga! Yani katika sababu zote hii ndio imetawala na imekuwa msingi wa upingaji wao wa mchele huo!

Jamii inayoweza kuwaza mambo kwa muono huo wa ngono tu katika jambo ambalo halihusiani kabisa hasa katika ulimwengu wa leo ni jamii ambayo imeharibika sana kiakili na inahitaji kupewa msaada wa kila kitu, sio wa mchele tu bali hata wa afya ya akili.

Ni ujuha watoto wasipiwe mchele wa virutubisho kwa "obsession" na conspiracy ushoga tu. Kama hao mabeberu wanaweza kufanya hivyo katika mchele wanashindwa vipi kufanya katika mafuta ya kula, ngano, tambi, apples, vipodozi, chanjo na dawa kutoka nchi zao au makampuni yao??
Duuhh hivi wewe Wamarekani walikupa nini? Huoni hata makosa?
 
Wewe huoni unavyowaza kusaidiwa kama mlemavu wakati una rasilimali zote. Ni lini serikali imetangaza tuna njaa? Wewe ukiwa una gunia kumi za Mchele ndani jirani akikupa kilo 1 utapokea? Acheni njaa jamani
 
Hiyo sio zawadi, tatizo humu wengi hatujui operation za grants na loans, mkuu hiyo hela inalipwa na nchi baadae, Tunachezewa vya kutosha
Mpaka hizo process zinafanyika mamlaka zilikuwa wapi? huu mchezo msomali anahusika moja kwa moja, kwamba NGO iliamka asubuhi ikaingiza mchele na ulipitia wapi bila serikali kujua?
 
Kama hao mabeberu wangetaka kuwageuza mashoga basi ile njaa ya 1984 wangeanza kuwageuza wazazi wenu wawe mashoga maana walikuwa wakigombea hizo burga na unga wa Yanga kutoka kwa hao wamarekani ili wasife njaa ili nyie mnaorefusha midomo yenu hivi sasa mzaliwe.Na hizo burga miaka hiyo zilisambazwa kwenye mashule mengi kila kona ya nchi, mbona hao wanafunzi hawakugeuka mshoga_?
 
Back
Top Bottom