Humu JF kuna waliosoma kwenye African Virtual University mambo ya ICT ?

Mimi nimesoma African Virtual University, bt it is no longer because it was a collaboration contract btn university of dar es salaam and RMIT University of Australia. Haipo tena ila product zake usipime. Sio kama za ki-tz univ
 
Mimi pia nimesoma pale ila hiki chuo kwa sasa hakipo. na kilikuwa palle UDSM. kwa sasa kinajulikana kwa jina la CVL, yaani center for virtual learning. ila material yake ndo yamekuwa ya kibongobongo full kuchakachuliwa. zamani tulikuwa tunasoma latest technology tupu. maana kilakitu kilikuwa kinatoka kwa wazungu mpaka assignments.kwa sasa website yao ni Welcome to CVL!
 
nimepata taarica hata hiki chuo kipya wameshakichakachua kinachkua wanafunzi kwa mara ya mwisho so there is no more CVL
 
Me pia nimesoma AVU enzi hizo shule ya ukweli, ila sasahivi kuna chuo cha kihindi.
 
Back
Top Bottom