Ni Mwathirika wa mawazo ya kikomunistNi maslahi gani ambayo Denmark (walioisaidia Tanzania tangu uhuru) wamebanwa kuyapata hadi waamue kufunga ubalozi? Kwamba nchi nyingine zote ambako hawajafunga balozi zao hawajabaniwa kupata maslahi kama walivyobanwa Tanzania? Huyu jamaa na stori zake za kijinga anakera sana!