Hukumu ya kesi ya maandamano ya January 5 ya CHADEMA leo

Nijuavyo mimi, hii case itapelekwa very slow hadi karibu na uchaguzi wa mwaka 2015 then wakati huo itapelekwa spidi sana ili kuwapotezea muda makamanda wa CDM kwenye maandilizi ya uchaguzi mkuu 2015!!!

Source: Secret cables za Magamba
Kesi hata haijaanza kusikilizwa,unazungumzia hukumu? ngoma bado mbichi sana!
 
Nijuavyo mimi, hii case itapelekwa very slow hadi karibu na uchaguzi wa mwaka 2015 then wakati huo itapelekwa spidi sana ili kuwapotezea muda makamanda wa CDM kwenye maandilizi ya uchaguzi mkuu 2015!!!

Source: Secret cables za Magamba

Hatufiki 2015 hapa hapa kwenye katiba lazima tublast huko 2015 mbali sana si unaona udikteta sasa unakwenda kwa vyombo vya habari yani hapo wameugusa muhimili mwekundu lazima watasank tu!
 
Mnapoteza muda wenu kubishana na Rejao! Waliopo eneo la tukio watupe updates. Achaneni na upuuzi!
Mimi huwa nawashangaa wote Rejao na wanaowajibu watu kama hao infact ni kupoteza muda kuendelea kusoma malumbano yao pages to pages.
 
Kesi imeahirishwa hadi Jan 17,baada ya wakili wa serikali kuomba kubadilisha hati ya mashtaka,na hakimu kutumia moja ya vifungu vinavyompa mamlaka kumruhusu,kuwaagiza mawakili wa utetezi.Hivyo Jan 17 itakuja kusikilizwa upya.
Thanks Nanyaro, wanaotaka kulumbana sasa wanaweza kuendelea wengine tumepata tulichokuwa tunahitaji goodbye.
 
Hukumu ya hawa watu ni kufungwa tu !

Genital brain. Hata kesi bado umeshatoa hukumu mzee?mambo hayaendi ki hivyo lema mbowe slaa. Ni. Ma Genius. Ndo maana. Gemu lao lina waacha mdomo wazi Ma genius wanajua rules of this game but genital never.
 
We choko unataka tumwandike nani? Tupe jina la mamako tumjadili basi, nakushauri kama huna la maana la kusema about Lema na Arusha kachangie thread ya ewura.

Punguza hasira mkubwa. Anaweza akakimbia huyu. Na jitihada zetu za kumwelewesha zikapotea bure
 
Naheshimu sana mawazo yako Lunyungu,,,,,mimi nilichofanya ni kueleza views zangu kuhusu hii kesi inayoendelea...chakushangaza ni watu kuanza kunirukia! Naombeni kabla ya kureply post yangu muwe mnasisoma signature yangu!!

If you think I'm against what you believe...NIPOTEZEE!!!!

Rejeo, hiyo signature yako haieleweki. Angalia hicho kingereza cha kuokoteza kitazidi kukupotezea hadhi kabisa!! Jaribu kurekebisha/sahihisha hako kasentence kako mzee kama kweli unataka kukatumia kama siganature yako!!

Kwa mujibu wa Katiba ya mwaka 1977, majukumu mahususi ya wabunge ni kushauri na kusimamia utendaji wa serikali kwa niaba ya wananchi. Pia majukumu mengine ya msingi ni kutunga sheria za nchi na kuridhia mikataba mbalimbali ya kimataifa. Katika haya yote sioni Lema anachokifanya. Ukiangalia Arusha kwa sasa kumekuwa kisiwa cha migogoro. Watu hapa JF mnamtetea Lema kishabiki na kwa sababu ya Itikadi yake, lakini kiuhalisia wananchi wa Arusha wanaumia. Wanachi wengi wa Arusha wanamkumbuka sana Felex Mrema. Huyu alikuwa mchapa kazi wa ukweli,,,,
Hebu tutake radhi, can u imagine huyu Lema unayempinga anawalipia ada watoto wasio na uwezo 417 tena bila msaada wa halmashauri.
Huyo Felex Mrema angegombania tena ubunge hapa arusha, yeye na mgomba tungechagua mgomba.
Mbunge wa jimbo lako ndo Prof.majimarefu??
 
Habari za Lema na kesi zake hazina tena mvuto!!! Tuongelee maendeleo, kesi zake ni mali yake na familia yake na hazina tija yoyote kwetu!

Maendelo tumeongelea mpaka tumechoka, labda wewe utusaidie kuongelea huko kwenye vikao vyenu vya NEKI pengine watakusikiliza.
Tunaomba wambie matatizo haya:
1. Umeme
2. Maji
3. Vitu kupanda bei
4. Uhaba wa mafuta ya petroli
5. Elimu duni
6. Huduma za afya duni
7. Kilimo (wananchi wanatumia zana duni sana)
8. Ufisadi
9. Mengine mengi (for i = 1: 1: n = infinity)
 
Kumbe unafahamu kinachohitajika? Badala ya kusikia habari za kesi kila siku, tunataka kusikia huyu Mheshimiwa anapambana vipi na hayo matatizo uliyotaja!!
 
Rejeo, hiyo signature yako haieleweki. Angalia hicho kingereza cha kuokoteza kitazidi kukupotezea hadhi kabisa!! Jaribu kurekebisha/sahihisha hako kasentence kako mzee kama kweli unataka kukatumia kama siganature yako!!

Ndio maana Mr. Zero una nafasi ya kunishahihisha! Hii siyo lugha yangu! Kama unataka kubishana kuhusu lugha nenda kwa akina kiranga!!!
 
Ndio maana Mr. Zero una nafasi ya kunishahihisha! Hii siyo lugha yangu! Kama unataka kubishana kuhusu lugha nenda kwa akina kiranga!!!

Lugha kama sio yako achana nayo especially ukigundua huiwezi.
Bora ungetumia ile lugha ya mtaala wa madrasa.
 
Hebu tutake radhi, can u imagine huyu Lema unayempinga anawalipia ada watoto wasio na uwezo 417 tena bila msaada wa halmashauri.
Huyo Felex Mrema angegombania tena ubunge hapa arusha, yeye na mgomba tungechagua mgomba.
Mbunge wa jimbo lako ndo Prof.majimarefu??
kwa mahesabu ya haraka haraka...kuwalipia wanafunzi 417 ada shule za kata, ni
=417 x 40,000 = 16,680,000. Kwa mwaka mzima hii ni hela ndogo sana kwake kama mbunge. Labda kama kuna lingine amalofanya utuambie hapa!!
 
Kumbe unafahamu kinachohitajika? Badala ya kusikia habari za kesi kila siku, tunataka kusikia huyu Mheshimiwa anapambana vipi na hayo matatizo uliyotaja!!

If you think I'm against what you believe...NIPOTEZEE!!!!

Lugha gani hii unatumia kwenye signature yako mr green guard??
 
kwa mahesabu ya haraka haraka...kuwalipia wanafunzi 417 ada shule za kata, ni
=417 x 40,000 = 16,680,000. Kwa mwaka mzima hii ni hela ndogo sana kwake kama mbunge. Labda kama kuna lingine amalofanya utuambie hapa!!

hata kama ni sh.200 kwa hesabu za taratibu, ni nani angewasomesha watoto hawa 417waliotoka ktk familia maskini zisizo na uwezo wa kuwasomesha kama sio Lema???
Rejao ada ya madrasa ni bei gani per annual??
 
kwa mahesabu ya haraka haraka...kuwalipia wanafunzi 417 ada shule za kata, ni
=417 x 40,000 = 16,680,000. Kwa mwaka mzima hii ni hela ndogo sana kwake kama mbunge. Labda kama kuna lingine amalofanya utuambie hapa!!
Mbona wabunge wenu wameshindwa hata kutoa shilingi 10, sanasan wanalilia posho ziongezwe?
 
Back
Top Bottom