HUKUMU: Levinus Kidanabi, hajamkashifu Rais Samia, Kaonewa

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Salaam Wakuu,

Tusaidiane kuangazia hii kesi, tupo huru kuongea sababu Hukumu imeshatoka.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ilimhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Tsh 15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief Son's kwa makosa matatu ikiwamo kumkashifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Hukumu iliyotolewa Oktoba 19, 2022 na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Matha Mahumbuga SIMIYU: Levinus Kidanabi Jela miaka saba na faini mil 15 kwa kumkashifu Rais Samia

Baada ya kuona Makosa yake, nikagundua hakuna hata sehemu moja alipomkashifu Rais Samia. Tujikite kwenye Makosa Mawili ya kumashifu Rais Samia.

Wakili wa Serikali Daniel Masambu na Mwendesha mashitaka wa Polisi Johndon Buhure Walidai Makosa hayo alitenda kwenye Group la WhatsApp la "Simiyu Breaking News".

Walidai Kosa la kwanza alilitenda 3/12/2021 kwamba aliandika:
"Mzazi mwenzao anawatetea Wazazi Wenzake, Mkiongozwa na Mwanamke Lazima mtafanywa kama wote mnanyonyesha; taifa limekuwa kama lina wanawake wote. Kila siku tunaongelea mambo ya kike kike"

Kosa la pili wanadai alilitenda 4/12/2021. Kwamba alitoa taarifa za Uongo:
"Mama yenu anakaribia kuugua ukichaa kitaalam tunaita anachokifanya hallucinations. Aka kamuungano tufungeni tumuombe Mungu kavunjwe ipo siku Hawa watu was kuvuka maji watatuingia kwenye Madeni madeni Makubwa maana Wanapenda starehe kuliko kazi"

Wakili wa Serikali Daniel Masambu alidai kuwa alikuwa akimkashifu Mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

MASWALI YANGU:

1. Ni wapi Levinus Kidanabi kamtaja Mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan?

2. Mtu kusema Mama yenu inakuwa inamanisha Mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan?

3. Ni watu gani Wanavuka maji?

4. Je, Kumuomba Mungu aingilie kati kuvunja kitu ni kosa?

Hii kesi ikibidi Kibata au Jebra Kambole, achangiwe aende kumtetea huyu Mwana CCM. Natamani kuona Tanganyika Law Society TLS, Watetezi mko wapi?
Screenshot_20221023-212543.png

1666533372963.png

Kafungwa miaka 7 na atalipa Mil 15
 

Attachments

  • CamScanner 10-27-2022 16.02 (1) (1).pdf
    943.7 KB · Views: 9
Neno Uhuru wa kutoa maoni linatumika vibaya kwenye nchi kiasi kwamba kuna watu wanataka tuamini tuna Uhuru usio na mipaka.

Binafsi natambua Nina Uhuru wa kutoa maoni bila kuingilia Uhuru wa mwingine wala kuvunja sheria. Huyo kijana alichofanya ni kuvunja sheria na kaingilia Uhuru wa wengine.
 
Neno Uhuru wa kutoa maoni linatumika vibaya kwenye nchi kiasi kwamba kuna watu wanataka tuamini tuna Uhuru usio na mipaka.

Binafsi natambua Nina Uhuru wa kutoa maoni bila kuingilia Uhuru wa mwingine wala kuvunja sheria. Huyo kijana alichofanya ni kuvunja sheria na kaingilia Uhuru wa wengine.
Kamtaja Nani? Wewe utakuwa CCM Tena CCM takataka
 
Anastahili hiyo adhabu, hawa ndio walikuwa chinja chinja kipindi cha Magufuli
Kuna raia wengi wema wenye kesi za kubambikizia ndio wasaidiwe sio haya masalia ya mwendazake
Wewe mwalimu fake utakufa kwa kihoro mb*a wewe!
 
Haya ni madhara ya muda mrefu Sana ambayo chama chetu kili yaasisi!!

Tulipoanza kuacha Mwenyekiti apite bila kupingwa KWA awamu ya pili ya urais ndio UJINGA ulipomea ukazaa matunda haya!!

Kama Mwenyekiti angekuwa anapata challenge kuwania kipindi cha pili KWA kushindanishwa NDANI bya chama na midahalo leo Rais anaetawala angekuwa na uvumililivu wa kisiasa NDANI ya CHAMA coz KAZI ingekuwa kubwa kwake kukishawishi Chama Ili apewe KIPINDI cha pili!!

KWA jinsi ilivyo Sasa Mwenyekiti anauwezo wa kumnyonga na kumuua mwanachama yeyote na asihojiwe na fomu ya urais akachukua KWA mara NYINGINE!!

Tutubu Mungu atusamehe KWA MAAMUZI mabovu tuliyofanya MWANZONI kabisa!!!

MUNGU ibariki Tanzania!!
 
Nyie ccm kila siku tunawaambia tuwe na katiba mpya na kutunga sheria zenye kufanya nchi iwe na utawala bora mnaishia kuimba sifa hapa jukwaani.

Sasa sheria za kinyemela na upumbavu wenu unapowarudia mnakuja kuomba wale mliokuwa mnawadharau na kuwaita vibaraka wa mabeberu ndio waje kuwapigania.

Pambaneni na hali zenu shwain nyie mpaka akili za mabadiliko ziwaingie
 
Unataka mpaka kuwe na name calling ndio uone kosa?

Hapo ipo wazi alikuwa akimwongelea mh rais Mia!!!

Kuwa mkweli bwana.
ki mtizamo ni sawa lakini,kwenye jicho la kisheria,hasa kwenye nchi ambazo mhimili wa mahakama upo huru,kuna ugumu sana wa kudhibitisha bila kuwepo na shaka yoyote.

Ndio maana kipindi kile Lisu alitamka maneno kwa kumsema jiwe lakini akatumia JPM,alipofikishwa mahakamani jamhuri walishindwa kuidhibitishia mahakama kuwa alimaninsha JOHN POMBE MAGUFULI.
 
Huyo mama aliyetajwa ni mamako au mamake? Ktk wapumbavu nchi hii we nafikiri unaongoza. Na ma..mbu yako unakuja kuandika huu utopolo. Kama unampenda sana mfuate gerezani.

Dopoma kweli. Alitakiwa afungwe maisha, unamtukana Rais wa nchi hivyo? We una Mama kweli? Alikuleaje? Na ahasiwe kabisa huyo hatakiwi ht kuwa na uzao atatuzalia vitu vya ajabu km mleta uzi huu
 
Back
Top Bottom