Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,311
- 4,018
Wakati mkoloni anaondoka mkoa wa Mara, jamii iliokuwa na mwanga wa elimu na usasa ilikuwa ni ya wajaluo
Lakini jamii hii haikuishi na kasi ya mwanga ilionesha hapo mapema, zaidi katika maeneo yao asili ya jamii yao inapoishi.
Simaanishi kuwa wajaluo hawana maendeleo kwa sasa ila yangekuwa kwa kasi na ukubwa mno kama kusingekuwa kuna uchawi na ushirikina mkali uliopo katika jamii zao.
Mitaa ya huko hakuna maendeleo ya maana kwa maana hawatakubali kuona umeinuka. Vijana hawarudi tena kuwekeza au kuonesha maendeleo yao kwa kuhofia uchawi utawaporomosha au kuwapoteza.
Inafikaga hata kipindi kwenye misiba ya wajaluo watu wa msiba ule na wanazengo waliopo hapo wanaombwa wasifanyie wageni juju ili waondoke kwa amani bila ya kurogwa.
Kwa mkoa wa Mara, vijiji vya kijaruo ni hatari sana kwa upande wa uchawi, hii sio kuabishana ila ukweli ndio huo.