Hujuma bungeni

dubwela

Member
Oct 23, 2012
28
2
Hujuma imefanyika kuharibu mitambo ili bunge lisiweze kusikilizwa/kuonwa na watanzania ambao walikuwa na shauku ya kujua nini kitasemwa na wabunge kuhusu gesi,elimu na mengine kwani tumeona mara nyingi mijadala motomoto wanakatisha mara kwa mara ama Tanesco wanakata umeme
 
Mkuu dubwela, funguka vizuri na kufafanua ili Wana JF wafahamu hoja yako inahitaji nini hasa; unaomba ushauri, unatoa taarifa (chanzo cha taarifa wapi ?) au unahitaji majibu ya ....NDIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO...................
 
Last edited by a moderator:
mi naona jamaa anatoa hoja sasa kama ww hoja haiijakuingia basi kuwa mpole wenzio watiririke!
 
Kwani nini kinaendelea huko? What is so special mjengoni leo au tatizo la kawaida tu?
 
Hujuma imefanyika kuharibu mitambo ili bunge lisiweze kusikilizwa/kuonwa na watanzania ambao walikuwa na shauku ya kujua nini kitasemwa na wabunge kuhusu gesi,elimu na mengine kwani tumeona mara nyingi mijadala motomoto wanakatisha mara kwa mara ama Tanesco wanakata umeme

kama ni kweli huo ni upuuzi wa serikali iliyodhaifu! ngoja watu watupe taarifa za uhakika!
 
Kama wanawakilisha wananchi watoke huko bungeni basi kama wananchi wao hatuwezi kuwafuatilia wanamuwakilisha nani sasa
 
Khaa... ikiwa ni kweli ujinga ulioje huo kwa watendaji wa Bunge, kwanini wafanye hivyo? hebu tusubiri tujekusikia wanasemaje juu ya hilo...
 
Hii ndo Tanzania the beautiful country,Tanesco wakikata umeme wanapitisha mzigo wa magendo,na wakikata bungeni nini kinaendelea? Jibu unalo.
 
Kumbe hapa ukiwa mjinga waweza jazwa ujinga na wajinga. ya mtu anakurupuka kuandika chocho.
 
Back
Top Bottom