kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 8,992
- 17,892
Naanika huu uozo hapa najua kuna usalama wa taifa ambao ni wazalendo au watu wa kwenye system wana uchungu na hii nchi....
Kuna hujuma zinafanywa kwa maagizo ya wakubwa fulani ipo hivi...
Wanatengeneza tatizo kisha wanalitatua
Mfano Kuna hujuma hapa juzi usiku mmoja transforma zaidi ya 10 zililipuka kwenye laini moja, wakaja wakasingizia ni hitilafu ya asili.
Kuna mtindo umeibuka wa kuhujumu mitambo ya umeme na vituo vya umeme, ndo maana kila siku hitilafu zinaibuka.
Nyuma ya hizi hitilafu kuna wakubwa wapo nyuma ya mgongo wa manunuzi,hawa wananunua vifaa cheap, vibovu na used kutoka nje kwa gharama kubwa ya bei sawa na kifaa kipya cha umeme kutoka Japan,au marekani....Hivi vifaa wanapiga hela mara mbili, kwanza wanatupiga kwenye manunuzi, pili wanaweka vibovu au vya kichina kwa lugha ya mjini ili viharibike tena wapate ulaji na posho, ndo maana sahv tanesco matengenezo na hitilafu limekua ni jambo la kawaida
Nimeambiwa kuna wakubwa wawili na kigogo mmoja mfanyabiashara mwenye asili ya Asia wanalimezea mate hili shirika yanafanyika mengi ili kusudi tanesco ionekane imefeli kwahyo ibinafsishwe then wapewe wao!!
Usalama wa taifa mko wapi?Taifa linahujumiwa kiasi hiki?Nilishadokezwa hadi kuna wakubwa walikua wakipiga simu umeme ukatwe tu ili ajenda zao zipite
Na kuna maeneo yamekua yakionyesha mpira wahusika wanachofanya wanaingia dili na wafanyakazi wasio wa waaminifu na tanesco wakate umeme aidha kipindi cha kwanza.au cha pili ili kusudi watu wakimbilie kwenye vibanda vyao au sehemu zao!!Imagine tanesco wanaweza kuendeshwa hadi na watu wachache kiasi hiki wanakata umeme kwasababu ya mtu mmoja na maslah yake binafsi hii inasikitisha sana.
Hii nchi ina usalama kweli?mbona wamelala nchi inahujumiwa hivi?