Huduma na Bidhaa za HALOTEL

upload_2016-9-27_18-35-46.png


ni huduma ya muziki inayompa mtumiaji nafasi ya kufurahia nyimbo kwenye simu ya mkononi muda wowote na mahali popote zikiwemo video, miziki, albamu, miito, milio pamoja na picha.
:
Kusajili
Kifurushi cha siku: Piga **# au tuma au MI kwenda
Kifurushi cha mwezi :piga **# au tuma au kwenda
Unaweza kupata huduma ya midundo kwa kutembelea www.midundo.co.tz
:
Huduma inawawezesha watumiaji wa HALOTEL kufurahia miziki mbalimbali mizuri kutoka sehemu mbalimbali muda wowote na popote.

Gharama za kifurushi
Kifurushi cha Siku: Tsh 60
Kifurushi cha wiki: 300 Tsh
Kupakua:
Wimbo: Tsh.300
Mlio: Tsh.150
Muito: Tsh.400

Facebook: VAS Halotel
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-9-28_19-0-15.png


ni huduma mpya inayowapa fursa wateja wa HALOTEL kujiunga na ulimwengu wa hadithi mbalimbali za kuvutia zipatikanazo ulimwenguni kote.

Piga kujiunga na huduma.

-Huduma inawapa burudani mpya wateja wa HALOTEL kwa kupata hadithi mbalimbali za mapenzi,watoto, kuchekesha na zile za asili.

-Kifurushi cha siku: Tsh 100/Siku- Pata hadithi 2
-Gharama za kuhifadhi hadithi: Tsh 300/Hadithi

-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-Instagram:vas_halotel
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
View attachment 408527

ni huduma mpya inayowapa fursa wateja wa HALOTEL kujiunga na ulimwengu wa hadithi mbalimbali za kuvutia zipatikanazo ulimwenguni kote.

Piga kujiunga na huduma.

-Huduma inawapa burudani mpya wateja wa HALOTEL kwa kupata hadithi mbalimbali za mapenzi,watoto, kuchekesha na zile za asili.

-Kifurushi cha siku: Tsh 100/Siku- Pata hadithi 2
-Gharama za kuhifadhi hadithi: Tsh 300/Hadithi

-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-Instagram:vas_halotel
-JamiiForums: HALOTEL VAS
hauana hata jibu la malalamiko? haya bwana nimegundua jana na leo inakuwa fasta after saa sita usiku watu wakilala,nimeshindwa kulive stream mechi ya arsenal ,next week naenda nunua tu universal modem nirudi voda
 
upload_2016-9-29_18-22-52.jpeg



UTANGULIZI
Hadithi za Ajabu
ni huduma inayowapa fursa watumiaji wa HALOTEL nafasi ya kufurahia hadithi mbalimbali nzuri za kushangaza,kusimumua na kukufahamisha mambo mbalimbali yanayotea ulimwenguni.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA

Kujiunga na Huduma:
-Tuma AJABU kwenda 15608

FAIDA ZA HUDUMA
-Huduma inampa mteja nafasi ya kupata kujua matukio mbalimbali.
-Huduma inampa mteja nafasi ya kufurahia pamoja na mafunzo ndani yake.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi cha siku: Tsh.80/Siku

JIUNGE NASI KUPITIA
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram:vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-Jamiiforum: HALOTEL VAS
 
upload_2016-9-30_19-4-2.jpeg

Karibu Katika Huduma Ya HALO REDIO!
-Piga 09 0122 0122 Ili Kujiunga Na Utapata Siku Moja BURE Ya Kutumia Huduma Hii
-Jiunge Na Klabu Ya HALO REDIO Kwa Burudani Mbalimbali
-Gharama Baada Ya Promosheni: Tsh 30/Siku


UTANGULIZI WA HUDUMA
Huduma ya HALO REDIO ni huduma mpya kutoka HALOTEL inayowawezesha wateja wa HALOTEL kupata taarifa mbalimbali za habari, burudani na muziki kutoka sehemu mbalimbali duniani kote. Kupitia huduma hii, mtumiaji ataweza kusikiliza miziki ya aina mbalimbali kama vile R&B, Rock, Pop, Rege na aina nyingine nyingi,pia kupata habari za matukio mbalimbali pia michezo duniani kote.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA YA HALO REDIO
-You can subscribe to the service by:
-Njia ya IVR: Piga 09 0122 0122 ili kujiunga na huduma hii.
-Njia ya ujumbe mfupi: Tuma ON kwenda 09 0122 0122 kujiunga na huduma hii.
-Baada ya hapo piga 09 0122 0122 ili kutumia huduma.

GHARAMA ZA HUDUMA

Kifurushi Cha Siku: Tsh 30/Siku
-Gharama Za Kupiga: Tsh 20/Dadika.

-UNGANA NASI
Facebook: VAS HALOTEL
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@HALOTEL.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-10-1_12-45-13.png

Pata siku moja bure kwa kujiunga na Huduma ya HALO BEATZ na uweze kutuma na kuweka nyimbo uzipendazo kwa marafiki pale wanapokupigia kwa kutuma ON kwenda 15607.
Piga 15607 (Gharama: Tsh 20/Dakika) kupata nyimbo nyingi mpya za chaguo lako.
Gharama ya kujisajili ni Tsh 20/Siku baada ya promosheni.


UTANGULIZI.
HALO BEATZ
ni huduma inayowapa fursa watumiaji wa HALOTEL kuweka miito wanayoipenda isikike pale wanapipigiwa.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Kujiunga na huduma: Tuma ON kwenda 15607 au piga *15607*1#
-Kupakua nyimbo:Tuma PATA codeyawimbo kwenda 15607 au piga *15607*Codeyawimbo#
-Kupata orodha ya nyimbo mpya: Tuma MPYA kwenda 15607 au piga *15607*5#
-Orodha ya nyimbo kwenye Albam: Tuma ORODHA kwenda 15607 au piga *15607*6#
-Kusikiliza nyimbo kwa kuchagua nyimbo bora: Piga 15607

GHARAMA ZA HUDUMA
-Gharama za kusajili: BURE
-Gharama ya wimbo kupakua/Wekaupya/Nakili: Tsh.100/Nyimbo kwa mwezi
-Gharama ya kusikiliza (IVR): Tsh.20/Dakika

JIUNGE NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Barua pepe: Vas@Halotel.co.tz
 
upload_2016-10-3_17-1-6.png


UTANGULIZI
DINI
ni huduma inayowawezesha wateja wa Halotel kupata mistari ya dini ya Kuraan, Injili na Biblia.Huduma hii inakuwezesha kujua Mungu ni nani na anamalengo gani kwenye maisha yako.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA

-Unaweza kujiunga na huduma kwa:
-Kupitia USSD: Piga *149*64# Kisha chagua DINI
-Kupitia SMS:
-Tuma neno INJILI/KURAAN/Biblia kwenda 15608 kusajili huduma.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha siku: Tsh 120/Siku

JIUNGE NASI:
Facebook: VAS HALOTEL
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
Instagram:vas_halotel
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-10-4_18-24-5.png

UTANGULIZI
VICHEKESHO
ni huduma inayowapa fursa watumiaji wa HALOTEL nafasi ya kufurahia hadithi mbalimbali nzuri za kuchekesha kila siku.

JINISI YA KUTUMIA HUDUMA
Kujiunga na Huduma:
-Tuma CHEKESHA kwenda 15608

FAIDA ZA HUDUMA
-Huduma inampa mteja nafasi ya kufurahia hadithi mbalimbali za kuchekesha.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha siku: Tsh.80/Siku

JIUNGE NASI

-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-Instagram:vas_halotel
-JamiiForum:HALOTEL VAS
 
upload_2016-10-5_18-34-17.png

UTANGULIZI
SIMUCLIP
ni huduma inayowarapa fursa wateja wa HALOTEL kufurahia video mbalimbali za kuchekesha, mambo muhimu ya soka, dondoo za mapishi, vikatuni, n.k kupitia simu zao.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA

-Tuma “ON” kwenda 15738 au piga *15738*1# kujiunga na Kifurushi cha siku
-Tuma “ON7” kwenda 15738 au piga *15738*7# Kujiunga Kifurush cha Wiki.
-Tuma “ON30” kwenda 15738 au piga *15738*30# Kujiunga kifurushi cha Mwezi.
-Jinsi ya kutumia huduma: Kutazama/kupakua/zawadi video kupitiahttp://simu.co.tz/

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi cha Siku: Tsh:180/Siku
-Kifurushi cha Wiki: Tsh: 900/Wiki
-Kifurushi cha Mwezi: Tsh: 3,000/Mwezi
-Gharama za video
-Mteja aliyejiunga: Bure kutazama video zote.
-Mteja asiyejiunga: Kutazama kwa demo za video sekunde 30 tu.
-Kupakua/Zawadi: Tsh:300/Video.
-Gharama za Data: Bure

JIUNGE NASI
Facebook: VAS Halotel
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-10-7_18-33-36.png

UTANGULIZI KUHUSU HUDUMA
HALO FUN
ni huduma ya kuburudisha na kufurahisha inayo kuwezesha kucheza Magemu kwenye intaneti kupitia simu yako ya mkononi. Kupitia huduma hii utapata nafasi ya kufurahia Magemu mbalimbali bila kikomo Magemu hayo ni kama vile Mashindano ya magari, Ngumi, Shabaha,Utamaduni, Magemu ya kutumia Mbinu na mengine mengi.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Unaweza kujiunga na huduma kwa:
-Kupitia WAP: Tembelea http://halofun.co.tz/ kwa kujiunga na huduma
-Kupitia SMS:
-Tuma SMS “ON” kwenda 15736 kujiunga na kifurushi cha siku.
-Tuma SMS “ON30” kwenda 15736 kujiunga na kifurushi cha mwezi.
-Alafu tembelea http://halofun.co.tz/ ili kutumia huduma.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi cha siku: Tsh 150/Siku
-Kifurushi cha mwezi: Tsh1,500/Mwezi

JIUNGE NASI
Facebook:VAS HALOTEL
WhatsApp:0627 942 367
Email:Vas@Halotel.co.tz
Instagram:vas_halotel
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-10-8_12-26-51.png

Jisajili Kwenye Huduma ya MCA Upokea Jumbe za Simu ULIZOKOSA PINDI Simu Imezima au imekosa Mtandao.
INTRODUCTION
MCA
ni huduma inayo muwezesha mteja wa HALOTEL kupokea jumbe za simu alizokosa pindi simu ikiwa imezima au haina mtandao. Huduma hii husaidia wateja wa HALOTEL kuwa na mawasiliano muda wowote na mahali popote.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA

-Kusajili huduma: kwenda au piga *15579*1#
-Kusitisha huduma: Tuma OFF kwenda 15579 au piga *15579*0#

GHARAMA
-Gharama ya kusajili na huduma baada ya Promosheni ni: TSH /.

JIUNGE NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
-Instagram: _
 
upload_2016-10-11_18-6-18.png

UTANGULIZI
HALO SAINI
ni huduma inayo wawezesha wateja wa HALOTEL kuonyesha hisia kwa wapendwa wao kwa kuweka saini kama ujumbe na utaonekana kwenye simu wanazopiga au kupigiwa.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
=>Kujiunga na huduma
Tuma ON kwenda 15614 kusajili kifurushi cha siku.
Tuma ON30 kwenda 15614 kusajili kifurushi cha mwezi.
=>Kuwezesha saini: Tuma SAINI <UjumbeWaSaini> kwenda 15614.

FAIDA ZA HUDUMA
-Husaidia wateja kuonyeshana upendo.
-Husadia wateja kujitambulisha kwa saini.
-Husaidia wateja kutanagaza biashara.
-Huwezesha mawasiliano baina ya wateja.
-Husaidia wateja kujulishana hali.
-Huduma hii ni kwa wateja wote wa HALOTEL.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha siku: Tsh 30 /Siku.
-Kifurushi cha mwezi: Tsh 600/Mwezi.
-Kubadili SAINI: Buree na unaruhusiwa kubadili mara nyingi uwezavyo.

UNGANA NASI KUPITIA
Facebook: VAS Halotel
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
Instagram:vas_halotel
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-10-12_18-51-15.jpeg

UTANGULIZI
HABARI
ni huduma inayowawezesha wateja wa Halotel kupata habari mbalimbali muhimu za jamii, siasa na michezo kutoka kila kona ya Dunia. Huduma inawapa fursa wateja kufahamu kile kinachoendelea ndani na nje ya nchi kila siku.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Unaweza kujiunga na huduma:
-Kupitia SMS :
-Tuma neno HABARI kwenda 15608 kusajili huduma.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha siku: Tsh 50/Siku

JIUNGE NASI:
Facebook: VAS HALOTEL
WhatsApp: 0627 942 367
Instagram:vas_halotel
Email: Vas@Halotel.co.tz
 
upload_2016-10-13_18-20-45.jpeg

Tuungane pamoja katika Ulimwengu Mpya wa Burudani katika huduma ya HALO REDIO!
-Piga 09 0122 0122 Ili Kujiunga Na Ufurahie Huduma Sasa!
-Jiunge Na Klabu Ya HALO REDIO Kwa Burudani Mbalimbali
-Gharama Baada Ya Promosheni: Tsh 30/Siku


UTANGULIZI WA HUDUMA
HALO REDIO
: Hii ni huduma ya kuvutia inayompa nafasi mteja wa HALOTEL kusikiliza redio mbalimbali duniani kote na kupata taarifa mbalimbali za habari burudani na michezo kutoka sehemu tofauti tofauti ulimwenguni kote, bila huitaji wa masafa ya FM/AM wala mawasiliano ya intaneti.
kupitia huduma hii mtumiaji ataweza kusikiliza miziki ya aina mbalimbali kama vile R&B, rock, pop, Rege na aina nyingine nyingi,pia kupata habari za matukio mbalimbali pia michezo duniani kote
Mtumiaji pia ataweza kuhifadhi chaneli anazozipendelea na kuzisikiliza tena baadae.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA YA HALO REDIO
-Unaweza Kujiunga na huduma kwa:
-Njia ya IVR: Piga 09 0122 0122 ili kujiunga na huduma hii.
-Njia ya ujumbe mfupi: Tuma ON kwenda 09 0122 0122 kujiunga na huduma hii.
-Baada ya hapo piga 09 0122 0122 ili kutumia huduma.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi Cha Siku: Tsh 30/Siku
-Gharama Za Kupiga: Tsh 20/Dadika.

UNGANA NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@HALOTEL.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
-Instagram:vas_halotel
 
upload_2016-10-14_17-20-57.png


UTAMBULISHO WA HUDUMA
PATA SALIO
Ni huduma inayo muwezesha mteja wa malipo ya awali wa Halotel kuomba mkopo wa salio pindi salio lake halitoshelezi. Deni litalipwa kipindi mteja akiongeza salio kwenye akaunti yake.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
Piga *149*63# kutumia huduma.

FAIDA ZA KUTUMIA HUDUMA
-Huduma ina muwezesha mteja wa Halotel kuendelea kuwasiliana pindi salio lake likiwa dogo
-Mteja anaweza pata mkopo wa salio wa Tsh 300 au Tsh 500 au Tsh 1000.
-Kiasi cha mkopo hakizidi 10% ya jumla ya kiasi cha matumizi kwa mwezi uliyopita

GHARAMA ZA HUDUMA
-10% ya mkopo. Mteja atalipa pindi akiongeza salio.

WASILIANA NASI KUPITIA
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-Instagram: vas_halotel
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-10-17_18-33-48.png

Usiache kufuatilia mtanange wa wapinzani wawili maarufu wa Ligi Kuu wakiminyana saa 4 kamili leo Usiku.
Kocha Jurgen Klopp anaonekana kuwa vyema baada ya kufanya maajabu ya kushindi mechi nne mfululizo huku “Kirusi cha FIFA” kikipunguza kasi ya kocha huyo.
Mashetani Wekundu wanatakiwa kuwafunga Liverpool kuwahakikishia mashabiki kwamba kila kitu kinaenda sawa, na kuwatoa katika nafasi ya 6 inayowafanya mashabiki kutokuwa na furaha na Manchester United. Vijana wa Kocha Mourinho watapigana kwa uwezo wao na kuhakikisha wanapata pointi 3 katika uwanja wa Anfield.

-Kupata taarifa za moja kwa moja na matokeo ya mchezo,
-Tuma LIVE PL kwenda 15602 na ufurahie huduma ya Halo Soka

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi: Tsh.100/Siku

JIUNGE NASI KUPITIA
- Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: +255.627.942.367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums:
HALOTEL VAS
-Instagram: vas_halotel
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom