Huduma na Bidhaa za HALOTEL

View attachment 400515

UTANGULIZI.
HALO MOVIE
ni huduma ya filamu kwenye mtandao inayokupa filamu za kipekee za nyumbani na kimataifa kwenye muonekana wa HD kupitia simu yako au tablet. Unaweza kutazama filamu mpya za kuvutia za ndani na zile za kimataifa.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Jisajili na huduma kwa kutembelea kiungo hiki http://halomovie.co.tz/.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha wiki: Tsh 600; Pata filamu 4 bure.
-Kifurushi cha mwezi: Tsh 2,000;Pata filamu 15 bure.
-Hitaji filamu: Tsh 300/Filamu.
-Gharama za Data: Bure

JIUNGE NASI
Facebook: VAS Halotel
WhatsApp: 0627 942 367
Instagram:vas_halotel
Email: Vas@Halotel.co.tz
Siku hizi mna Speed ndogo nimeshindwa Ku stream mpira Jana Mnazingua sana aisee.
 
upload_2016-9-16_17-52-57.png

UTAMBULISHO WA HUDUMA
PATA SALIO
Ni huduma inayo muwezesha mteja wa malipo ya awali wa Halotel kuomba mkopo wa salio pindi salio lake halitoshelezi. Deni litalipwa kipindi mteja akiongeza salio kwenye akaunti yake.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
Piga *149*63# kutumia huduma.

FAIDA ZA KUTUMIA HUDUMA
-Huduma ina muwezesha mteja wa Halotel kuendelea kuwasiliana pindi salio lake likiwa dogo
-Mteja anaweza pata mkopo wa salio wa Tsh 300 au Tsh 500 au Tsh 1000.
-Kiasi cha mkopo hakizidi 10% ya jumla ya kiasi cha matumizi kwa mwezi uliyopita

GHARAMA ZA HUDUMA
-10% ya mkopo. Mteja atalipa pindi akiongeza salio.

WASILIANA NASI KUPITIA
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-Instagram: vas_halotel
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-9-17_12-54-29.jpeg

UTANGULIZI
Hadithi za Ajabu ni huduma inayowapa fursa watumiaji wa HALOTEL nafasi ya kufurahia hadithi mbalimbali nzuri za kushangaza,kusimumua na kukufahamisha mambo mbalimbali yanayotea ulimwenguni.
JINISI YA KUTUMIA HUDUMA
Kujiunga na Huduma:
-Tuma AJABU kwenda 15608

FAIDA ZA HUDUMA
-Huduma inampa mteja nafasi ya kupata kujua matukio mbalimbali.
-Huduma inampa mteja nafasi ya kufurahia pamoja na mafunzo ndani yake.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha siku: Tsh.80/Siku

JIUNGE NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram:vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-Jamiiforum: HALOTEL VAS
 
upload_2016-9-19_17-53-34.png

UTANGULIZI
DINI
ni huduma inayowawezesha wateja wa Halotel kupata mistari ya dini ya Kuraan, Injili na Biblia.Huduma hii inakuwezesha kujua Mungu ni nani na anamalengo gani kwenye maisha yako.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Unaweza kujiunga na huduma kwa:
-Kupitia USSD: Piga *149*64# Kisha chagua DINI
-Kupitia SMS:
-Tuma neno INJILI/KURAAN/Biblia kwenda 15608 kusajili huduma.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha siku: Tsh 120/Siku

JIUNGE NASI:
Facebook: VAS HALOTEL
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
Instagram:vas_halotel
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-9-20_18-17-15.png

UTANGULIZI
MIDUNDO
ni huduma ya muziki inayompa mtumiaji nafasi ya kufurahia nyimbo kwenye simu ya mkononi muda wowote na mahali popote zikiwemo video, miziki, albamu, miito, milio pamoja na picha.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA:
Kusajili
Kifurushi cha siku: Piga *15574*1# au tuma ON1 au MI kwenda 15574
Kifurushi cha mwezi :piga *15574*7# au tuma ON7 au M7 kwenda 15574
Unaweza kupata huduma ya midundo kwa kutembelea www.midundo.co.tz

FAIDA ZA HUDUMA:
Huduma inawawezesha watumiaji wa HALOTEL kufurahia miziki mbalimbali mizuri kutoka sehemu mbalimbali muda wowote na popote.

GHARAMA ZA HUDUMA

Gharama za kifurushi
Kifurushi cha Siku: Tsh 60
Kifurushi cha wiki: 300 Tsh
Kupakua:
Wimbo: Tsh.300
Mlio: Tsh.150
Muito: Tsh.400

JIUNGE NASI

Facebook: VAS Halotel
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
View attachment 403746
UTANGULIZI
MIDUNDO
ni huduma ya muziki inayompa mtumiaji nafasi ya kufurahia nyimbo kwenye simu ya mkononi muda wowote na mahali popote zikiwemo video, miziki, albamu, miito, milio pamoja na picha.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA:
Kusajili
Kifurushi cha siku: Piga *15574*1# au tuma ON1 au MI kwenda 15574
Kifurushi cha mwezi :piga *15574*7# au tuma ON7 au M7 kwenda 15574
Unaweza kupata huduma ya midundo kwa kutembelea www.midundo.co.tz

FAIDA ZA HUDUMA:
Huduma inawawezesha watumiaji wa HALOTEL kufurahia miziki mbalimbali mizuri kutoka sehemu mbalimbali muda wowote na popote.

GHARAMA ZA HUDUMA

Gharama za kifurushi
Kifurushi cha Siku: Tsh 60
Kifurushi cha wiki: 300 Tsh
Kupakua:
Wimbo: Tsh.300
Mlio: Tsh.150
Muito: Tsh.400

JIUNGE NASI

Facebook: VAS Halotel
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
Acheni kuibia watu MB
 
upload_2016-9-21_18-30-34.png

Cheza, burudika, Jifunze na Ujishindie zawadi nyingi za thamani kutoka katika Huduma ya Halo Quiz
-Piga 0901220 1111 na Ujiunge bure kwa mara ya Kwanza
-Jiunge na timu ya Halo quiz ujifunze, uburudike na Ujishindie Zawadi nyingi za Thamani
-Gharama za kujiunga na huduma ni Tsh 100/kwa kila mara 2 za kucheza Halo Quiz


UTANGULIZI
HALO QUIZ
ni huduma inayowapa fursa watumiaji wa HALOTEL nafasi ya kushinda zawadi nyingi. Kwa kujibu idadi ya maswali kadhaa kwa usahihi kwa muda mchache.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Kujisajili: Mteja wa HALOTEL anaweza kujiunga na kuanza kutumia huduma hii nzuri kwa kupiga 0901221111.
-Mtumiaji atapokea taarifa ya ujumbe wa kufanikiwa kusajili huduma na kupewa nafasi ya kucheza HALO QUIZ.
-Kisha mtumiaji ana nafasi ya kuchagua kifurushi cha maswali na kuanza kujibu maswali.
-Huduma ina vifurushi 3 vya maswali
-Kifurushi cha maswali kumi: Maswali 10; Zawadi: Tsh 2,000
-Kifurushi cha maswali ishirini: Maswali 20; Zawadi: Tsh 4,000
-Kifurushi cha maswali thelathini: Maswali 30; Zawadi: Tsh 8,000

GHARAMA ZA HUDUMA

-Gharama za huduma ni Tsh100 kwa siku. Baada ya kujiunga utapata nafasi mbili za kucheza HALO QUIZ bure.
-Kisha mtumiaji atapaswa kulipia Tsh.100 kwa kila nafasi mbili za ziada kucheza HALO QUIZ.

JIUNGE NASI
Facebook: VAS HALOTEL
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
Instagram: vas_halotel
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-9-22_17-4-44.png


Jiunge na HALO WIN Leo Upate Zawwadi Mbalimbali kila Siku!
-Kujiunga na Huduma ni Rahisi! Pata Siku Moja BURE kwa Kusajili Huduma kwa Mara ya Kwanza!
-Pata Zawadi Nyingi Kuanzia Tsh.10,000 Kama Muda wa Maongezi Kila Siku na Smartphone H8501!

UTANGULIZI WA HUDUMA
Halo Win
ni huduma mpya na yakuvutia kutoka halotel inayokupa nafasi nyingi za kujishindia zawadi mbalimbali zikiwemo za siku, wiki na Mwezi
Wateja wote wa Halotel wanaweza kujiunga na huduma hii, alafu wanatakiwa kuongeza salio kwenye akaunti zao za simu badaa ya hapo watapokea namba ya bahati na kutakiwa kupiga namba ya huduma na uingiza namba hiyo ya bahati au kuituma kwa njia ya ujumbe mfupi kwenye namba hiyo ya huduma.
Mfumo utachezesha droo na kuchagua washindi.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA YA HALO WIN
-Unaweza kujiunga na huduma kwa njia zifuatazo
-Njia ya IVR: Piga 09 0122 0004 ili kujiunga na huduma hii, alafu utatakiwa kuongeza salio kwenye akaunti yako ya simu, baada ya hapo utapokea namba ya bahati na utatakiwa kupiga namba ya huduma ambayo ni 09 0122 004 na kuingiza namba ya bahati uliyotumiwa.
-Njia ya ujumbe mfupi: Tuma ON kwenda 09 0122 004 kujiunga na huduma hii. alafu tuma namba yako ya bahati utakayopokea baada ya kujiunga au kuongeza salio kwenye akaunti yako kwenda kwenye namba 09 0122 004.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi Cha Siku: Tsh 50/Siku

JIUNGE NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
-Instagram: vas_halotel
 
upload_2016-9-23_18-20-51.png

PATA TAARIFA NA MATOKEO MOJA KWA MOJA YA MECHI
-Tuma: LIVE PL to 15602.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha Siku: Tsh 100/Siku

JIUNGE NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: +255.627.942.367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
-Instagram: vas_halotel
 
Kinacho niboa ni zile ofa zenu baada ya MTU kuongeza Salio....yaani baada ya kujiunga kifurushi mb zinazotumika ktk data ni zile nilizojiunga wakati zile za ofaa zipo zinasubir nlizonunua ziishe ndio nitumie....na mb za of a zina dumu kwa muda mfupi maalum...kwa kifupi ni kwamba ukiwa na mb za kununua mwenyewe na izo za of a kwa wakati mmoja basi zinazotumika ni zile nilizojiunga za ofa zimekaa tu....Embu chukua mfano Huu hai nilikuwa na kifurushi changu changu cha mwezi nlikuwa nimebakiwa na MB 1290 nikawa nataka kujiunga na Kifurushi cha usiku pack coz nlitaka Ku download file lenye size kubwa...baada ya kujiunga nkajua ntatumia izo za usiku zile za mwez zitabaki mpaka za usiku pack ziishe.....balaaaaaa zikawa zinatumika za mwez za usiku zipo tu so sad nlilia kwa kwel......Baala la kabla la hill ni ili.....wakat naweka vocha ili nijiunge cha mwez nilipewa mb kibao kama zawad ila zilikuwa zinadum muda mchache...ila nikajiunga ili niwe hewan...kuingia net data zikaanza kutumika nilizojiunga kifurushi cha mwez za ofa zipo tu zinasubir Siku yake ifike ziondoke....huo ni wiziiiiiii
 
upload_2016-9-24_11-8-58.jpeg

UTANGULIZI
VICHEKESHO
ni huduma inayowapa fursa watumiaji wa HALOTEL nafasi ya kufurahia hadithi mbalimbali nzuri za kuchekesha kila siku.

JINISI YA KUTUMIA HUDUMA
Kujiunga na Huduma:
-Tuma CHEKESHA kwenda 15608

FAIDA ZA HUDUMA

-Huduma inampa mteja nafasi ya kufurahia hadithi mbalimbali za kuchekesha.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha siku: Tsh.80/Siku

JIUNGE NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-Instagram:vas_halotel
-JamiiForum:HALOTEL VAS
 
tatizo mmtetubania watu wa vijijjini hamjafunga 3g ktk minara mingi iliyopo vijijini, wapi makeke yenu maana mlitamba sana lakini hakuna lolote, soon nitawahama
 
MCA.jpg

UTANGULIZI
MCA ni huduma inayo muwezesha mteja wa HALOTEL kupokea jumbe za simu alizokosa pindi simu ikiwa imezima au haina mtandao. Huduma hii husaidia wateja wa HALOTEL kuwa na mawasiliano muda wowote na mahali popote.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Kusajili huduma: kwenda au piga *15579*1#
-Kusitisha huduma: Tuma OFF kwenda 15579 au piga *15579*0#

GHARAMA ZA HUDUMA
….Kujisajili Kwenye Huduma na Utapokea Jumbe za Simu ULIZOKOSA PINDI Simu Imezima au imekosa Mtandao.
-Gharama ya kusajili na huduma baada ya Promosheni ni: TSH 150/Mwezi

JIUNGE NASI

-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
-Instagram: _
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom