htc smartphone vs tecno smartphpne

Big IQ... Chief mkwawa alishasema hawezi kumshauri mtu anunue simu zenye MEDIATEK CHIP.
Maana hazina ubora na matatizo mengi

Na tecno ndo wapp kwenye chip hizo
 
Je mahitaji yako yakoje?

kama unataka Double line => Tecno
Single line=>HTC
Spare Parts and customer care=>Tecno

kuhusu speed, RAM na features zingine angalia specs za hiyo htc unayoilenga na uilinganishe na Tecno unayoilenga.

ipi ni bora zaidi wadau nataka nikanunue moja wapo
 
Wewe kwanini waipenda Tecno na Kitu gani Kinakufanya Uifananishe au ushabikie watu wanaoifananisha na Samsung au HTC au LG

Kwa sababu nimesha tumia baadhi ya hizo hasa kwa matumizi yangu zika ni disappoint mf. Samasung, na LG bt toka nime anza kutumia phantom pad sijawahi kujilaumu hasa kwa matumizi yangu hakuna kuheat ,na charge atlist inakaa tofauti na hizo za awali.
 
kitu tecno wewe. mi natumia kap5 kangu wala sina shida na ma htc yenu !
 
Usifuate mkumbo ndugu watu hapa kila mmoja atajaribu kuvutia kwake, fika dukani halafu chukua simu unayoona inakufaa, kamwe mi siwezi kuisifia tecno kwa sababu sijawahi kuitumia na wala siwezi kuiponda kwa sababu sijawahi kuitumia, mi najivunia simu yangu ya htc desire 601 kwa sababu haijawahi kuniletea tatizo lolote
 
acha kudanganywa, hivi tecno ni yakuCompare na htc,
tecna bado mchanga sana ucdanganyike hata kama tecno ana kitkat na htc ana 4.0
chkua htc kwa ushaur wangu wenye uzoef.
 
Usifuate mkumbo ndugu watu hapa kila mmoja atajaribu kuvutia kwake, fika dukani halafu chukua simu unayoona inakufaa, kamwe mi siwezi kuisifia tecno kwa sababu sijawahi kuitumia na wala siwezi kuiponda kwa sababu sijawahi kuitumia, mi najivunia simu yangu ya htc desire 601 kwa sababu haijawahi kuniletea tatizo lolote

Mkuu Hii ulinunua bongo? Kwa bei gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom