Hp Internal speakers zimeacha kufanya kazi

Livanga

JF-Expert Member
Apr 15, 2010
469
148
techies and others naitaji msaada

Hp laptop imetumika kwa miezi 6 tangu inunuliwe ghafla tu spika zimeacha kufanya kazi ila ukichomeka headphones zinafanya. tatizo nini msaada wenu ni muhimu sana
Nimejaribu kuinstall tena drivers lakini na nimegundua ni tatizo la hp nyingi kwani sasa zimefika tatu zenye tatizo hilo.
 
Back
Top Bottom