how to heal from a breaking relationship?

Mwalimu gfsonwin, unatupeleka wenzio chaka. How do you pick from the group wakati ukiwa tu kwenye hilo group automatically feelings zako zinamuwakia mmojawapo hata kama sio the best kwenye group?
I have a friend ambaye hutoka lunch na rafiki zake wengi wa both sex. Anapendwa sana na mdada mmojawapo wa hili group na huyu dada ni mzuri, anajiheshimu sana(one of the best I have seen), ni msomi, honest, mpole na mtaratibu. Jamaa anampenda another girl ambaye ameshamtesa sana mpaka sasa hivi but hajitambui, mpaka tunamshangaa! Mi huwa namshauri wasi hang out pamoja labda itasaidia.
How do you guarantee dear madam, that if someone hangs out with many friends wont end up picking the wrong one?
PetCash usemalo wewe ni kweli sometimes waweza kupick outside the group but wengi hupendelea kupick from the group wakiassume kabisa kwamba it is quite possible kwa rafiki wa kawaida kudemonstrate tabia zake zote kwenye peergroup yake ukilinganisha na mtu unayemtokea in a special way. nafikir kabisa wewe waweza kunithibitishia hili kwamba uko wewe zaid when it comes to friends kuliko when it comes to your partner.
 
Last edited by a moderator:
umeshawai kufanya hivyo ulivovieleza.

duniani mtu huwez ukapitia kila mazingira ila waweza kujifunza aina zote za mazingira. so whether nimepita ama la haijalish ishu hapa ni do we real think this can help us to heal?
 
For simple analysis majeruhi wa mapenzi ni wengi kuliko majeruhi wa ajali zote zilizotokea from 1995 up to date!

(source mimi)
.
ahsante sana kwa utafiti wako sasa majeruhi hawa wawezaje kupona? labda tumwite Mzee Mwanakijiji na Mtambuzi watusaidie manake yawezekana wengi humu ndani tu wahanga
 
Last edited by a moderator:
Tried every means jombaa but none worked, in a new relationship yet she is nat lyk her. Truly a little scratch makes her images roll in ma mind....
mkuu hebu kaa hapa soma wenzio wakielezea utapona tu naamini.
 
duniani mtu huwez ukapitia kila mazingira ila waweza kujifunza aina zote za mazingira. so whether nimepita ama la haijalish ishu hapa ni do we real think this can help us to heal?
Nilivyo kuuliza nilikuwa nataka kujua kwani binadamu wengi huwanza kuwa manabii pindi wanapopatwa na matatizo naikajua wewe ni mmoja wao.
 
Time is best healer ,more take your space, grief alone if anecessary, cry out loud to take the pressure inside you and soon you will start a new fresh.

you said it clear my dearest sister MadameX, ila some people huwa wana assume kwamba they cant heal hivi ni kweli? hebu jamani Kongosho Eiyer Asprin mwanajamii1 Roulette na wengine njooni mtusaidie majibu tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Nilivyo kuuliza nilikuwa nataka kujua kwani binadamu wengi huwanza kuwa manabii pindi wanapopatwa na matatizo naikajua wewe ni mmoja wao.

mimi si mmoja wapo ila najaribu kuelimishana tu na wadau wengine mkuu.
 
.
ahsante sana kwa utafiti wako sasa majeruhi hawa wawezaje kupona? labda tumwite Mzee Mwanakijiji na Mtambuzi watusaidie manake yawezekana wengi humu ndani tu wahanga

Wote wahanga tofauti ni aina ya majeraha: wengine madogo, wengine makubwa kiasi wengine donda ndugu. Mimi mara ya kwanza kujeruhiwa ilikuwa balaa na ndio the first lover duuuh nilihisi niko peke yangu niliyejeruhiwa lakini muda uliniponya, na sasa nikipiga jicho nyuma mpaka nacheka.

Lakini na mimi nilijeruhi tena haswaaa (lakini si kwa makusudi).......tena binti mwenyewe ndio alikuwa anaingia kwenye huu ulimwengu wa misukosuko.
 
PetCash usemalo wewe ni kweli sometimes waweza kupick outside the group but wengi hupendelea kupick from the group wakiassume kabisa kwamba it is quite possible kwa rafiki wa kawaida kudemonstrate tabia zake zote kwenye peergroup yake ukilinganisha na mtu unayemtokea in a special way. nafikir kabisa wewe waweza kunithibitishia hili kwamba uko wewe zaid when it comes to friends kuliko when it comes to your partner.

I agree with you we are getting somewhere...Ila mi si pretend hata kidogo, I am me nikiwa na partner, I am me nikiwa na friends...Mi huwa naturaly nina demand kubwa sana toka kwa mwenzi wangu so huwa nataka nipendwe kama mimi coz I happen to believe I deserve it!

Its just that ukikaa sana na a lot of friends of opposite sex unaweza kuwa na 'crush' over someone ambaye hata hastahili...Na solution ni kukaa mbali naye(But once you are in hulijui tena hili)
 
Nyie watu mbona mnachukulia mapenzi siriaz saana?!!! Mtakufa siku si zenu. Ukiona anakuzengua, scroll down kwenye simu yako, stop kwa jina la yule aliyekuwa anakutaka, piga, anseni kujirusha, maisha yanaendelea. Simple. Mnatuamini sana wanaume e? na tutawatenda hadi mchakae...

kaka Tuko wengi wanataka kubadilisha uhalisia if the realtionship doesnt work what do you do? tayari umeshaface separation ama divorce utabaki kuendelea kuumia tu nafsini? utajiwekea ukuta wa upweke na unyanyapaa? hapana yabidi kutoka how? hilo ndo tatizo give the guts ma bro.
 
Last edited by a moderator:
Wote wahanga tofauti ni aina ya majeraha: wengine madogo, wengine makubwa kiasi wengine donda ndugu. Mimi mara ya kwanza kujeruhiwa ilikuwa balaa na ndio the first lover duuuh nilihisi niko peke yangu niliyejeruhiwa lakini muda uliniponya, na sasa nikipiga jicho nyuma mpaka nacheka.

Lakini na mimi nilijeruhi tena haswaaa (lakini si kwa makusudi).......tena binti mwenyewe ndio alikuwa anaingia kwenye huu ulimwengu wa misukosuko.

wewe platozoom kujeruhi kwa makusudi ni kupi na kwa bahati mbaya ni kupi? je matokeo yake yanatofautina? na je intention yake pia inatofautiana?
 
Last edited by a moderator:

I agree with you we are getting somewhere...Ila mi si pretend hata kidogo, I am me nikiwa na partner, I am me nikiwa na friends...Mi huwa naturaly nina demand kubwa sana toka kwa mwenzi wangu so huwa nataka nipendwe kama mimi coz I happen to believe I deserve it!

Its just that ukikaa sana na a lot of friends of opposite sex unaweza kuwa na 'crush' over someone ambaye hata hastahili...Na solution ni kukaa mbali naye(But once you are in hulijui tena hili)

hongera kwakuwa uko wewe kama wewe, na miye nisemapo u choose one from the group hukurupuki na kuanza ghafla hapana mnakaa as friends to for a while, let say hata 5 months ndipo labda unapropose.
 
Nafikiri Hilo somo ulilotoa linawahusu sana akina dada mcharuko....na wewe umeamua kuwapa mbinu za kujifariji baada ya kupigwa chini na wapenzi wao! wanawake wa siku hizi pasua kichwa sana na ndio maana wengi wanapigwa chini.....sasa utafute kampani nyingine....tena ya opposite sex WHY? kama yamekushinda kwa mpenzi wako....sasa unatafuta HURUMA AU FARAJA toka tena kwa wanaume ya nini.....wewe kungwi wao nakuuliza.....je ndio ulivyowafunda hawa wanao wa dot.com?

Mwanamke ukiona yamekushinda kwa mwanaume mmoja au watatu....ujue wewe ni kimeo every where! hakuna kujifariji .....KUWENI MAKINI NA MU-WAPE MAPENZI YA DHATI WAPENZI WENU.....!
 
Back
Top Bottom