how to heal from a breaking relationship?

gfsonwin are you talking from experience au ni theory tu?
If my record is right, ur hubby is the 1st man in ur life; nisahihishe tafadhari.

We heal differently, some people needs another man/woman to heal; some needs time n space some don't heal kabisa. Pia inategemea na how deep were u in love, commitment au investiments ulizoweka kwenye huo uhusiano.

Hakuna formulae kama ilivyo kwenye vitu vingi vya maisha!

Ni kweli kabisa inategemea sana jinsi gani huyo mtu alikuw a moyoni kwako, ni jinsi gani ulimpenda, mda mliopoteza.

Time heal, but it may take long time hata kama unajichanganya.
 
Nitoe mfano wa kuku wa kienyeji: Moja ya magonjwa yanayowaua sana ni Kideri au mdondo (ugonjwa wa virusi), kuku anapopata ugonjwa huu huwa anakosa nguvu na hata hamu ya kula inapungua sana........Kinga ya ugonjwa huu ni chanjo lakini anapoanza kuugua haitakiwi kumpa chanjo hiyo...........itamuua mara moja kwa sababu kwa asili chanjo ile huwa ina mchanganyiko wa virusi hivyo kwa hiyo ni kama utakuwa umemuongezea virusi vingine na hatma yake ni kifo.

Kwa sababu mdondo hauna tiba unatakiwa kumpa dawa za antibiotic ambazo hazitibu ila zitazuia matokeo ya ugonjwa huo kama kuharisha, kukosa hamu ya kula n.k........na baada ya muda kuku atapata nguvu na immunity yake itaongezeka na virusi vitakwisha na hatimaye kuku atapona kabisa!

too philosophical ma bro. ila kwakua am a teacher nimekuelewa sana tu. dogo kip it u. haya wataka kula nini leo?
 
Ni kweli kabisa inategemea sana jinsi gani huyo mtu alikuw a moyoni kwako, ni jinsi gani ulimpenda, mda mliopoteza.

Time heal, but it may take long time hata kama unajichanganya.

lakini koku wafikiri kama imeshafika mwisho utafanya nini? lazima uadmit matokeo kisha ufikiri njia ya kutokea kuish kwa kusononeka na maumivu ni kutaka kufa kama laivyosema platozoom
 
Last edited by a moderator:
Duh gfsonwin mie ngoja niwe msomaji tu,i won't live a lie bwana kwangu mie naona dunia sio fair kwa upande wangu but am trying hard to think otherwise.Thanks for this thread.
 
Umesahau kimoja hapo. BIA, BIA, BIA halafu BIYA na BIYa na bia nyiiiingi sana.

Ulabu ni suluhisho la matatizo mengi sana. If you know what I mean.

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Asprin mzima wewe hapo nimekupa big like
 
Last edited by a moderator:
Madam X i salute you.

Kaeni na stress zenu, wao wanaenjoy wewe unakufa kihoro. How stupid are we? Lia sana, piga kelele, anza maombi kwa kwena mbele uone kama utamkumbuka. Nyumba, mashamba ni vitu vinapatikana ukijipanga.

Chukua hatua! lol
 
Enough time ni how much time?

Kama unaamini juu ya true love, mliyebreak naye ndio alikuwa the one. Do u think it is easy to replace ur true love?

Again, nasisitiza tumeumbwa tofauti. Hata bila ya kuumizwa kuna watu wako open kwa wengine, wengine wako peke yao.

Pia sababu ya kuvunjika kwa uhusiano unahusu sana; for me kuna impossible love niliyoivunja mwenyewe. It took years to forgot. Kuna nyingine which was abusive relationship, l was happy to break it na sikubaki na majeraha. The rest ni simple affairs ambazo hauzitilii maanani.

Kuachwa ni kitu kingine, ambacho sina uzoefu nacho sana. But l can imagine how painful it can be kuachwa na love of ur life.

Utatamani usisikie chochote kuhusu mapenzi; n that reminds me of Tony Braxton song "another sad love song" (@BAK chaguo la msikilizaji tafadhali)
 
Wapenzi wa MMU asbh ya leo hebu tujifunze jambo dogo lakin la muhimu kweli juu ya mahusiano yetu kwa mba ni jinsi gani twaweza kupona kutoka katika mahusiano yaliyovunjika. mimi nianze kwa kutoa mbinu chache wengine mtamalizia:-

1) usikimbilie kabisa kuanzisha mahusiano mapya jipe muda uwez kusoma upepo.
2) jitengenezee marafiki wa kawaida ambao ni wa sex tofauti ili wakupe company tu hasa ya outing ili kukutoa upweke
3) hakikisha marafiki unaoweza kutengeneza ni wale ambao wako kama wewe yaani siyo couples zitakazo kuumiza moyo
4) hakikisha kama unataka kuanzisha mahusiano u pick from the group na ndio sababu ya kusema uwe na marafiki wa kampany tu.

nawasilisha. karibuni kwa mchango wenu

Nakubaliana na wewe kwa vipengele hivyo ulivyovitaja. Baada ya kutendwa huwezi tu kukurupuka na kuanzisha mahuisano na mtu ambaye humjui hata kidogo....lazima uwe umemzoea vya kutosha ndipo uamue kuanzisha uhusiano naye kwani aliyeng'atwa na nyoka akiguswa na jani huruka sana.
 
lakini koku wafikiri kama imeshafika mwisho utafanya nini? lazima uadmit matokeo kisha ufikiri njia ya kutokea kuish kwa kusononeka na maumivu ni kutaka kufa kama laivyosema platozoom

Matokeo utayaadmit, lakini kwa wengine kumuondoa mtu moyoni is a big issue. Watu wanapenda bwana 100% in love, yeye hajiachii hata % moja.

Kwa hali hiyo lazima aje ateseke sana. Kwenye mapenzi jipe 50% na yeye mpe 50% ili ukiachwa uone kawaida.
 
ndiyo maana jana HorsePower aliongelea maumivu ya mapenzi nikamwambia ishu ni kwamba watu huwa wanapenda kiisia zaid kuliko kiuhalisia.

to me penda kwa akili na mara nyingi sana wanawake ndo wahanga wa kupenda kwa hisia yaani kila penzi mnalikaribisha na kuliingiza moyoni aisee mim ni tofauti sijawah kuingiza moyoni huwa yanaishia akilini tu so napenda kiuhalisia na siku zote panapotatizo akili huchukulia kama changamoto.
 
Last edited by a moderator:
Enough time ni how much time?

Kama unaamini juu ya true love, mliyebreak naye ndio alikuwa the one. Do u think it is easy to replace ur true love
?

Again, nasisitiza tumeumbwa tofauti. Hata bila ya kuumizwa kuna watu wako open kwa wengine, wengine wako peke yao.

Pia sababu ya kuvunjika kwa uhusiano unahusu sana; for me kuna impossible love niliyoivunja mwenyewe. It took years to forgot. Kuna nyingine which was abusive relationship, l was happy to break it na sikubaki na majeraha. The rest ni simple affairs ambazo hauzitilii maanani.

Kuachwa ni kitu kingine, ambacho sina uzoefu nacho sana. But l can imagine how painful it can be kuachwa na love of ur life.

Utatamani usisikie chochote kuhusu mapenzi; n that reminds me of Tony Braxton song "another sad love song" (@BAK chaguo la msikilizaji tafadhali)

ndiyo maana jana HorsePower aliongelea maumivu ya mapenzi nikamwambia ishu ni kwamba watu huwa wanapenda kiisia zaid kuliko kiuhalisia.

Tupo pamoja...
true love ni mwanao na wazazi wako, mwingine yeyote ni kujidanganya.

Akikuletea za kuleta anza mbele kabla hajakuprovoke akuburuze kwa gari kama Nasra hadi ufe.
 
ndiyo maana jana HorsePower aliongelea maumivu ya mapenzi nikamwambia ishu ni kwamba watu huwa wanapenda kiisia zaid kuliko kiuhalisia.

to me penda kwa akili na mara nyingi sana wanawake ndo wahanga wa kupenda kwa hisia yaani kila penzi mnalikaribisha na kuliingiza moyoni aisee mim ni tofauti sijawah kuingiza moyoni huwa yanaishia akilini tu so napenda kiuhalisia na siku zote panapotatizo akili huchukulia kama changamoto.

Ni kweli kabisa uliyoyasema.
 
Back
Top Bottom