How to download from RapidShare

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,495
2,252
Rapidshare ina version ya bure na ya kulipia(Premium) tofauti zake ni kama ifuatavyo:
Bure: Time delay kabla hujaanza judownload, Speed ndogo na hauwezi ku-resume yaani download ikikatika inabidi uanze mwanzo tena!

Kulipia: Speed kubwa, full resume support.

Hapa nitawaonyesha njia moja ya kupata PREMIUM access BURE!!!!

Kwanya kabisa uwe na Download Manager hii ni program ambayo itakuwezesha ku-resume downloads na inaongeza speed. Mimi natumia Free Download Manager pia kuna Download Accelerator na nyingine nyingi. Zote zinapatikana Free Software Downloads and Reviews - Download.com

Pili: Tafuta kitu unachotaka kudownload, yaani link ya rapidshare e.g
Windows Server 2008 For Dummies:
Code:
 http://rapidshare.com/files/161478050/Win.Serr.08.4.Dums-virTuAlZin.rar
Kuna search engine za rapidshare e.g Search Files on Rapidshare, Megaupload, SendSpace, ZShare and file hosting websites - ShareMiner.com

Tatu:
Then nenda site hii RSRip.Org - FREE Rapidshare Premium Link Generator , pia Rapidshare Premium Leeching Websites kuna list ambayo iko maintained, ila inadidi uregister na kupost kwenye thread kabla hujaiona. [NOTE: Hizi site zinakuja na kuondoka daily, so best bet ni kusearch google "rapidshare premium account generator" or something similar, utapata nyingine muda si mrefu]

Paste link ya Rapidshare file unayotaka kudownload kwenye textbox and submit, after sometime utapata link ya kudownlodia tumia Download manager yako kudownload hiyo link/file.

Kama kuna kitu hakipo clear:confused: let me know, enjoy:).
 
Rapidshare ina version ya bure na ya kulipia(Premium) tofauti zake ni kama ifuatavyo:
Bure: Time delay kabla hujaanza judownload, Speed ndogo na hauwezi ku-resume yaani download ikikatika inabidi uanze mwanzo tena!

Kama kuna kitu hakipo clear:confused: let me know, enjoy:).
Ni information muhimu kwa wadau na natumaini wakiizingatia wengi wa wanatumia hii forum:

Educational stuffs, Downloads + Tutorials

watanufaika nayo. Hata hivyo tuliwahi kuwafahamisha namna ya kuwepa hizo sekunde zinazojihesabu hapa:

Utata katika: Rapidshare, MegaUpload, Kaspersky, AVG na Antivirus mbalimbali
 
Nimisoma just now kuwa Rapidshare wametoa zile sekunde kwenye Free downloads ila limits zengine bado zipo, hilo la sekunde kusema kweli sionagi kama ni tatizo, la kukosa resume ndo tatizo kama nadownload kitu cha 500Mb kikakatika kwenye 450mb unaweza ukalia!!
 
Nafikiri inategemea upo wapi na server za hao jamaa sipo busy kiasi gani, nilidownload office 2007 Enterprise ina karibu 1.7GB kutoka peer2peer network, lilichukua chini ya 3 minutes kudownload entire file. Natumia service za Time Warner (Road Runner 22MB/Sec). iko vizuri sana.
 
Mkuu nadhani wengi umetupa darasa la kutosha yaani asante sana na mungu akujaalieye na tupo pamoja!!
 
Nafikiri inategemea upo wapi na server za hao jamaa sipo busy kiasi gani, nilidownload office 2007 Enterprise ina karibu 1.7GB kutoka peer2peer network, lilichukua chini ya 3 minutes kudownload entire file. Natumia service za Time Warner (Road Runner 22MB/Sec). iko vizuri sana.

Ni kweli, naongela mostly from a Bongo point of View. Na kitu kingine U.S wanashitaki sana watu wanaoshare illegal/copyrighted content kwa hiyo uwe mwangalifu, ISP wako anakeep records zote!
 
Back
Top Bottom