Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,446
habari ndiyo hiyo!!
Lakini ruksa kula na nduguyo nimesha kwandalia na kiti kabisa hiki hapa.
Hiki kiti utakalia wewe tu maana ni wide load kitahimili uzito wako.
habari ndiyo hiyo!!
okay basi nitawasili mkuranga kwa hamu na shauku kubwa!Tayari amesha thibitisha kuwa anakuja Mkuranga.
Mamushka mi nshakuwa Zuma tena? Hebu soma hapa chini anayeuliziwa. Yeye atakuwa nani sasa? MSWATI?
Lakini ruksa kula na nduguyo nimesha kwandalia na kiti kabisa hiki hapa.
Hiki kiti utakalia wewe tu maana ni wide load kitahimili uzito wako.
aisee umefanya jambo la maana mana huwa vile viti vya kawaida nikivikalia vinaishia kubonyea miguu na vingine vinashindwa kuhimili vinavunjika.ila mbona wamesema hamna kukikalia?Lakini ruksa kula na nduguyo nimesha kwandalia na kiti kabisa hiki hapa.
Hiki kiti utakalia wewe tu maana ni wide load kitahimili uzito wako.
i see..!sikujua!vizuri kusikia hajambo!
NI swali zuri kama lingepata majibu sahihi katika muktadha wa kuwaelimisha vijana walio na wanaotafuta wachumba but i dont see any in many of the posts here labdaNauliza tu!!
afu kuwa makini kudandia dandia usivovifahamu, muulize masanilo kuna mtu kule kwenye jukwaa la wazee anajifanya jike kumbe ni dume
aisee umefanya jambo la maana mana huwa vile viti vya kawaida nikivikalia vinaishia kubonyea miguu na vingine vinashindwa kuhimili vinavunjika.ila mbona wamesema hamna kukikalia?
sipati picha alivyokuwa akirukaruka huku akinena kilugha wkt wa hayo maombezi!!!cha muhimu umepona.sijambo swty naendelea vzr kuna mtu alinifanyia maombi ya kufa mtu ww acha tu,jamaa anaupako ile mby
Sasa mbona hunipi shukrani ya kujibu PM zangu? Au niingie hewani kabisa?Xpin alinifanyia maombi ya kufa mtu ww acha tu,jamaa anaupako ile mby
sipati picha alivyokuwa akirukaruka huku akinena kilugha wkt wa hayo maombezi!!!cha muhimu umepona.
We ukiugua tutampa kazi ya maombezi MKATEKUMENI HOMMIE KAIZER! Bahati nzuri maombi yake anafanyia mwarubaini guesti house! Church!sipati picha alivyokuwa akirukaruka huku akinena kilugha wkt wa hayo maombezi!!!cha muhimu umepona.
hapa naomba nitoke kidogo internet cafe huku KITUNDA nicheke kwa nguvusi bora angenena kilugha?mi nilikuwa naskia"Baba shusha valuu nyingi ili nimpe pearl kama divai alewe nifanye mamboz,baba nasubiria muujiza wako ,usiniangushe maana nimeshawafanyia wengi yaha maigizo"
Na pepo lilivokuwa na nguvu wala hukuanguka! Au ulikuwa huumwi vizuri?si bora angenena kilugha?mi nilikuwa naskia"Baba shusha valuu nyingi ili nimpe pearl kama divai alewe nifanye mamboz,baba nasubiria muujiza wako ,usiniangushe maana nimeshawafanyia wengi yaha maigizo"
nitakuja kama kaizer naye atakuwepo...!
Hivi Kitunda gesti gani nzuri? Isiyo na kunguni na vitanda visivyolalamika?hapa naomba nitoke kidogo internet cafe huku KITUNDA nicheke kwa nguvu
si bora angenena kilugha?mi nilikuwa naskia"Baba shusha valuu nyingi ili nimpe pearl kama divai alewe nifanye mamboz,baba nasubiria muujiza wako ,usiniangushe maana nimeshawafanyia wengi yaha maigizo"
Hommie kabla hujawa mjumbe wa bodi ya BAKITA, ulishawahi kufanya kazi Urafiki?unavojali maslahi yangu! Senks! Unajua kuna msemo 'kwenye kupanga hapa mjini, kuhamia mazoezi kulipa kodi mechi!" inahusu!
We ukiugua tutampa kazi ya maombezi MKATEKUMENI HOMMIE KAIZER! Bahati nzuri maombi yake anafanyia mwarubaini guesti house! Church!
Hommie kabla hujawa mjumbe wa bodi ya BAKITA, ulishawahi kufanya kazi Urafiki?