engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
Balozi mpya wa Rwanda alikabidhi hati zake kwa Bernard Membe ambaye alikuwa amevalia shati nyeupi alafu nje, yaani barazani wizarani. Hii ilikuwa ni tofauti na utamaduni wa kidplomasia, ambapo balozi huwasilisha kwa mkuu wa nchi na kukagua gwaride...This is because JK hakutaka kusikia chochote kutoka kwa Kagame, the arrogant guy of Kigali. Nasikia they dont see eye to eye because Kagame aliwahi kusema eti akipewa Tanzania na raslimari zake ataifanya kuwa first world country! Arrogance!Na jamaa hawa hawataki kabisa kuonana tena, na mkutano wa kujadili maombi ya sudani kusini kuingia EAC bila shaka mmoja atamtuma waziri mkuu wake na mwingine makamu wa raisi
nimewahi lisikia hilo,kila Raisi anatamani kupewa Tanzania hata kwa miaka kadhaa,kuna jamaa wa SA wao wanasema kama upo uwezekano tubadirishane nchi sisi twende SA na wao waje TZ wanasema kwa MADINI tuliyo nayo tuwape miaka 10 tu,watakuwa zaidi ya SA,
Muda mwingine maneno kama hayo si mazuri kumweleza mwenye nchi,kwani unapomweleza unamaanisha kuwa yeye hawezi kutumia rasilimali zilizopo ili kukuza uchumi wa nchi,
ingawaje muda mwingine ni vyema ukayafanyia kazi maneno ya wenzako yaweza kuwa na ukweli