Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 30,006
- 32,357
Sana aisee
Kuna mwaka tulikuwa msibani sasa kuna jamaa akawa na simu yake ya kichina akawa anaogopa kuibiwa akaamua kuiweka kwenye chupi(Kule maeneo) then akalala....!
Baadae kama saa saba wakati tushalala simu si ikaanza kuita na ilikuwa na vibration kubwa Lol
Jamaa kasahau kama ni simu wacha aamke kwa kuruka huku akipiga kelele dah ilikuwa aibu sana na kila nikikumbuka huwa nacheka sana Madame B coz ilikuwa kituko kweli
Watu wote waliamka kwa kuwa alipiga kelele za ukweli tukakurupuka kukimbia dah we acha tu
Teh teh teh teh teh,
Mlichekaje!!
Afu ashukuru ilikuwa usiku,ingekuwa mchana,tungejazanaje!!!
Ila Nahs asubuhi alikuwa mpole kama Kondoo.
Ila Mkuu Erickb52 haya mambo ya kulala Naked yana vituko sana.
Nakumbuka nililala mlalo wa No.4 ghafla nikasikia Mwizi!!Mwizi!!,
nilikurupuka mtupu hadi nje,bahati nyumba ya jirani kulikuwa na Msuli wa Ustaadhi kwenye kamba nikaupitia.
Aisee sitasahau maana yule Ustaadhi alinikuta nao nimeuvaa kule kwenye tukio.
Last edited by a moderator: