How do you sleep....?

Sana aisee
Kuna mwaka tulikuwa msibani sasa kuna jamaa akawa na simu yake ya kichina akawa anaogopa kuibiwa akaamua kuiweka kwenye chupi(Kule maeneo) then akalala....!
Baadae kama saa saba wakati tushalala simu si ikaanza kuita na ilikuwa na vibration kubwa Lol
Jamaa kasahau kama ni simu wacha aamke kwa kuruka huku akipiga kelele dah ilikuwa aibu sana na kila nikikumbuka huwa nacheka sana Madame B coz ilikuwa kituko kweli
Watu wote waliamka kwa kuwa alipiga kelele za ukweli tukakurupuka kukimbia dah we acha tu

Teh teh teh teh teh,
Mlichekaje!!
Afu ashukuru ilikuwa usiku,ingekuwa mchana,tungejazanaje!!!
Ila Nahs asubuhi alikuwa mpole kama Kondoo.
Ila Mkuu Erickb52 haya mambo ya kulala Naked yana vituko sana.
Nakumbuka nililala mlalo wa No.4 ghafla nikasikia Mwizi!!Mwizi!!,
nilikurupuka mtupu hadi nje,bahati nyumba ya jirani kulikuwa na Msuli wa Ustaadhi kwenye kamba nikaupitia.
Aisee sitasahau maana yule Ustaadhi alinikuta nao nimeuvaa kule kwenye tukio.
 
Last edited by a moderator:
nyie mnaolala namba 3 na 4 wengi mtakua ni mambo swafii...ndio maana mnawaponda namba 1 na 2, lala hiyo namba 4 huku kijijini kwetu kama hujakuta cobra au anaconda mtoto ndio mkia unamalizikia kuingia kunako kibubu
 
nyie mnaolala namba 3 na 4 wengi mtakua ni mambo swafii...ndio maana mnawaponda namba 1 na 2, lala hiyo namba 4 huku kijijini kwetu kama hujakuta cobra au anaconda mtoto ndio mkia unamalizikia kuingia kunako

Barida tu.
 
Teh teh teh teh teh,
Mlichekaje!!
Afu ashukuru ilikuwa usiku,ingekuwa mchana,tungejazanaje!!!
Ila Nahs asubuhi alikuwa mpole kama Kondoo.
Ila Mkuu Erickb52 haya mambo ya kulala Naked yana vituko sana.
Nakumbuka nililala mlalo wa No.4 ghafla nikasikia Mwizi!!Mwizi!!,
nilikurupuka mtupu hadi nje,bahati nyumba ya jirani kulikuwa na Msuli wa Ustaadhi kwenye kamba nikaupitia.
Aisee sitasahau maana yule Ustaadhi alinikuta nao nimeuvaa kule kwenye tukio.

Madame B naona unatuokota hivi hivi...hahaha
 
Last edited by a moderator:
nyie mnaolala namba 3 na 4 wengi mtakua ni mambo swafii...ndio maana mnawaponda namba 1 na 2, lala hiyo namba 4 huku kijijini kwetu kama hujakuta cobra au anaconda mtoto ndio mkia unamalizikia kuingia kunako kibubu

hi hi hi....hii ina apply kwa jinsia zote....?
 
Hahahahahahahaha
sipati picha ustadh alivyo panic

Teh teh teh teh teh,
Mlichekaje!!
Afu ashukuru ilikuwa usiku,ingekuwa mchana,tungejazanaje!!!
Ila Nahs asubuhi alikuwa mpole kama Kondoo.
Ila Mkuu Erickb52 haya mambo ya kulala Naked yana vituko sana.
Nakumbuka nililala mlalo wa No.4 ghafla nikasikia Mwizi!!Mwizi!!,
nilikurupuka mtupu hadi nje,bahati nyumba ya jirani kulikuwa na Msuli wa Ustaadhi kwenye kamba nikaupitia.
Aisee sitasahau maana yule Ustaadhi alinikuta nao nimeuvaa kule kwenye tukio.
 
Last edited by a moderator:
Unajua sisi hapa kijijini kwetu ni kosa la jinai kulala uchi!. Wamwela wakikukamata ni lupango moja kwa moja.
 
Sana aisee
Kuna mwaka tulikuwa msibani sasa kuna jamaa akawa na simu yake ya kichina akawa anaogopa kuibiwa akaamua kuiweka kwenye chupi(Kule maeneo) then akalala....!
Baadae kama saa saba wakati tushalala simu si ikaanza kuita na ilikuwa na vibration kubwa Lol
Jamaa kasahau kama ni simu wacha aamke kwa kuruka huku akipiga kelele dah ilikuwa aibu sana na kila nikikumbuka huwa nacheka sana Madame B coz ilikuwa kituko kweli
Watu wote waliamka kwa kuwa alipiga kelele za ukweli tukakurupuka kukimbia dah we acha tu

Mbavu zinauma.
 
Last edited by a moderator:
aiseeee! ulimwengu wa walala chiu ni mkubwa sana inaonyesha! lol
 
Sana aisee
Kuna mwaka tulikuwa msibani sasa kuna jamaa akawa na simu yake ya kichina akawa anaogopa kuibiwa akaamua kuiweka kwenye chupi(Kule maeneo) then akalala....!
Baadae kama saa saba wakati tushalala simu si ikaanza kuita na ilikuwa na vibration kubwa Lol
Jamaa kasahau kama ni simu wacha aamke kwa kuruka huku akipiga kelele dah ilikuwa aibu sana na kila nikikumbuka huwa nacheka sana Madame B coz ilikuwa kituko kweli
Watu wote waliamka kwa kuwa alipiga kelele za ukweli tukakurupuka kukimbia dah we acha tu

nimechekaaaaaaaaaaaaaaaaaa dah nikakumbuka kuna siku dodoma tetemeko la ardhi lilitokea alfajiri ....weeeeee acha tu wengine walitoka na underskirt kichwani, mnafika nje ndo mnaanza kujishangaa ..........
acha kabisaaa hahahahahaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom