How do you sleep....?

Unajua sisi hapa kijijini kwetu ni kosa la jinai kulala uchi!. Wamwela wakikukamata ni lupango moja kwa moja.

kwa nini wamwela wakukamate kama huna kosa.....? usikute wewe hapo kijijini ni nanihii.......
 
Mie namba yangu hujaweka Preta ni 3.5 as of now....
 
Last edited by a moderator:
im going to bed imagining u...taking the mental image of u at number 4..
G9t..

jamani nabakwa hivi hivi hata hamniokoi.....waume zangu ndo mmeniacha kimoja......
 
Preta ...nimeshtuka usiku nikiota ndoto za ajabu juu yako..!!
 
Last edited by a moderator:
Duh! Huku kwetu no1 inahusu zaidi.
Hali ya hewa inakaba huwezi tumia hizo 3 & 4 maana hutaweza kulala.
 
my mate alikua na tabia za ku use namba 4 ss siku moja asbui na mapema si watu wakapiga kelele za motooo!!!!wee!!!wacha akurupuke na kutaka kutoka nje imagine kutoka floor ya 4 mpaka chini wacha nipate kazi ya kukazana kumpa dera avae!!!
 
Back
Top Bottom