How deep is your love?

PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,997
1,999
Habari zenu wadau?
Leo nimekaa sehemu naumwa jino, mawazo fulani yakanijia; what if ningeling'oa? then what if ningeng'oa meno yote mdomoni na hivi sijaoa, what woman will love me?
Nikakumbuka nimewahi sana kujiuliza kweli kumpenda mwenzi wako kiukweli ni vipi? na je kama akiwa disfigured on the course of our life together how far naweza kuchukuliana naye...nitampenda hadi stage gani?
Naomba niwaulize swali hili tafadhali , labda kama ni mwenzi wako kupoteza viungo fulani fulani je wewe unaweza kuvumilia hadi stage gani?
 
love is a parcel.., sio kitu kimoja ina mambo mengi sana physical appearance ni mojawapo tu.., (ndio maana hata bibi na babu zetu unakuta bado wanapendana ingawa waliyempenda kwa sura na mvuto sio wa sasa hivi)

Hivyo basi hata mtu akipata ajali akabadilika kama bado character yake ipo bado kuna bond za kuwaweka pamoja.., Cha maana be true to yourself na sio kujifanya somebody else kumvutia mtu.., ukishamnasa anagundua kwamba he/she married a different person.

ndio maana unakuta watu wakishaoana wengine wanachokana baada ya kuanza kuona true colours za wenza wao ingawa appearance wise wanaweza wakawa wamependeza zaidi. Therefore hata ukipenda mtu jitahidi kumpenda zaidi ya appearance base more on their characters na palilia pendo lizidi kukua kila siku
 
Thank you! Ila sasa what if tabia nazo zitabadilika akawa tofauti kabisa na compatibility haipo tena na ushaoa-will you still love her?
 
Kama akibadilika kila kila kitu basi atakuwa a totally different person ambae sikutegemea kuwa nae..., ila kama tabia inabadilika sababu ya ajali au ugonjwa basi obligation itanifanya niendelee kuwa nae milele..., our past and what we have will make me remember and carry on to the future.., (hapo atakuwa my own na mimi nikimtupa nani atampokea..?) taishi nae na kumtreat with care hopefully atapunguza hasira asipopunguza...., well thats life and everyone has got their own problems to take care of.
 
...apoteze tu hata vyote ila KIUNGO kikuu kikiwepo simuachi ng'o!
 
Kama akibadilika kila kila kitu basi atakuwa a totally different person ambae sikutegemea kuwa nae..., ila kama tabia inabadilika sababu ya ajali au ugonjwa basi obligation itanifanya niendelee kuwa nae milele..., our past and what we have will make me remember and carry on to the future.., (hapo atakuwa my own na mimi nikimtupa nani atampokea..?) taishi nae na kumtreat with care hopefully atapunguza hasira asipopunguza...., well thats life and everyone has got their own problems to take care of.

Samahani ntaendelea kukuuliza tena-Kwa hiyo kumbe akibadilika kabisa kwa hiyari hapo ndio mwisho wa upendo?
 
Swali lako na fikra zako zinaendana na upetty cash wako.

Asante bibie kwa kuchangia, Ila wewe unaonyesha uko cash oriented which is not bad kwa sababu itakufanya uwe walewale tu! i am not my money and what makes me is much more than the money i have...
 
Samahani ntaendelea kukuuliza tena-Kwa hiyo kumbe akibadilika kabisa kwa hiyari hapo ndio mwisho wa upendo?
unajua kama vyote ulivyompendea vimebadilika kwa hiari (basi sina obligation ya kuendelea kuwa nae wala roho haitanisuta) lakini kama ni kwa bahati mbaya (ugonjwa n.k.) siwezi kumwacha pia kumbuka huruma pia ni emotion kama ilivyo upendo na chuki, hivyo basi hurumu na wajibu utafanya niendelee kuwa nae na bado nitampenda kwa kukumbuka na kujua kwamba deep down niliyempenda bado yupo.

Ni kama ambavyo mzazi ni vigumu kumuacha / kutokumpenda mtoto wake hata kama wengine wote wanamuona hafai
 
Inategemea na kiungo atakachopoteza.
:) nadhani akipoteza kiungo tena ndio itakuwa ngumu kumuacha... (sababu ya wajibu na roho itakusuta, huruma ita-take over)

Ila akibadilika tabia ghafla na kuwa mtu wa ajabu ni rahisi kujenga chuki na kumchukia, lakini kupoteza kiungo / ajali huruma itafanya iwe ngumu kumuacha
 
hili somo linawafaa zaidi wanaume...wengi wanaoa mabeauty queens wakidhani watabaki hivyo milele.....kesho na keshokutwa wakishazaa na kuanza kunenepa,maziwa kuanguka....wanaanza tena kusearch dogo dogo...........lol
 
Serious wengine tunaingia kichwakichwa bila kufikiri yatakayotupata mbeleni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom