Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Mungu akujalie...ushindane kwa haki pia ujilinde maana walio kupasua ata unaeshindana nae hawajui...mm binafsi nakuombe Mungu uchaguliwe kwanza na chadema then uje kupambania kombe

Sasa saiv watanzania wote tunatakiwa kusikiliza hoja....maana hoja inajibiwa kwa hoja....kipitia malalamiko ya lissu yajibiwe kwa hoja na sera ambazo zitatuvusha 2020-2025 na sio kuuwana kila mtu anayapenda maisha...kisichoo kuuwa ujue kitakukomaza kiaskarii
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Viti maalumu katika ubora wake.

We subiria kubebwa wenzako wanaonyesha uthubutu kutia nia wewe umekalia majungu.

Tuliza kijambio.
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Kila la kheri Tundu Lisu, Mungu aendelee kusimama na wewe, Watesi wako hawajalala
 
Ndugu zangu,

Huenda maisha ya lockdown yamemwathiri Tundu Lissu,ukimsikiliza utagundua walemgwa wa "urais" wake sio Watanzania bali ni mabalozi na raia nchi za ulaya na Amerika waishio Tanzania.

Nilifikiri kukaa Ubelgiji angekutana na akina Mouse Katumbi au marafiki wa Tshisekedi ambao wangemfunza jinsi ya "kufanya siasa ughaibuni'.Leo wananchi wa Ikungi wameshasahau kama walishawahi kuwa na Mbunge anaueitwa Tundu Lissu sababu hazungumzi kero yao hata moja japo kwa unafiki.

Nimalize tu kwa kumtakia maisha mema huko ughaibuni ahakikishe wanae wanasoma nayeye alinde kibarua chake.
Umezindukia wapi we binti?
Nitajie mwanasiasa mmoja tuu anayeweza kujibu hiyo statement ya Lissu ya kutambulisha umma nia na lengo lake? Mmoja tuu, maana inajulikana wazi mzee wa barakola hawezi itakuwa kumuonea tuu.
Hapa ndio tunakumbuka maneno ya Polepole kabla hajaharibikiwa akili.

TL ametoa hotuba nzuri sana inaleta matumaini mapya katika nyanja zote kiuchumi na kijamii inaponya majeraha,inaonyesha matumaini ya uhuru wa wananchi ambao unazidi kupotezwa.
Inaleta matumaini ya mahusiano mazuri ya kimataifa na kuondokana na dhana ya "ubeberu"

Inaleta matumaini ya sekta binafsi kuongoza uchumi wa nchi badala ya serikali kufanya biashara jambo ambalo linaleta mgongano wa kimaslahi.
Imeleta matumaini mapya ya kuleta katiba mpya ya wananchi, ambayo itaondoa ukiritimba wa kiimla kutoka kwa watawala.
Inaleta matumaini ya maridhiano kataifa kuondoa uhasama unao zidi kukua kati ya wanavyama wa vyama tofauti Tz

Ni hotuba inayo ponya inayotibu inayotia matumaini.

Hongera TL kwa kuonyesha nia
 
Daah Lisu kweli utopolo yaani kajaza mimaneno kibao na sentensi kama upoyoyo wa makinikia hajui kusummarize repetition kibao kaweka zinki, zebaki, helium, copper, vuluvululu. Kichwani kumevurugika kbsa. Yelewi....wakosha...hiiiii!!
Andika yako tuione, kama essay tu zilikushinda form 4 utamuweza mwanasheria???
 
Ndugu zangu,

Huenda maisha ya lockdown yamemwathiri Tundu Lissu,ukimsikiliza utagundua walemgwa wa "urais" wake sio Watanzania bali ni mabalozi na raia nchi za ulaya na Amerika waishio Tanzania.

Nilifikiri kukaa Ubelgiji angekutana na akina Mouse Katumbi au marafiki wa Tshisekedi ambao wangemfunza jinsi ya "kufanya siasa ughaibuni'.Leo wananchi wa Ikungi wameshasahau kama walishawahi kuwa na Mbunge anaueitwa Tundu Lissu sababu hazungumzi kero yao hata moja japo kwa unafiki.

Nimalize tu kwa kumtakia maisha mema huko ughaibuni ahakikishe wanae wanasoma nayeye alinde kibarua chake.
Naona amezungumza kero za waliomtuma lakini siyo za watz!
 
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu.
 
Ndugu zangu,

Huenda maisha ya lockdown yamemwathiri Tundu Lissu,ukimsikiliza utagundua walemgwa wa "urais" wake sio Watanzania bali ni mabalozi na raia nchi za ulaya na Amerika waishio Tanzania.

Nilifikiri kukaa Ubelgiji angekutana na akina Mouse Katumbi au marafiki wa Tshisekedi ambao wangemfunza jinsi ya "kufanya siasa ughaibuni'.Leo wananchi wa Ikungi wameshasahau kama walishawahi kuwa na Mbunge anaueitwa Tundu Lissu sababu hazungumzi kero yao hata moja japo kwa unafiki.

Nimalize tu kwa kumtakia maisha mema huko ughaibuni ahakikishe wanae wanasoma nayeye alinde kibarua chake.
Lisu anatapatapa
 
Umezindukia wapi we binti?
Nitajie mwanasiasa mmoja tuu anayeweza kujibu hiyo statement ya Lissu ya kutambulisha umma nia na lengo lake? Mmoja tuu, maana inajulikana wazi mzee wa barakola hawezi itakuwa kumuonea tuu.
Hapa ndio tunakumbuka maneno ya Polepole kabla hajaharibikiwa akili.

View attachment 1472337
Kuna hoja hapo ya kujibu? Naona kuna upoloto tu. Kero alizozizungumza si za watz labda za hao mabeberu waliomtuma na wanasaccos.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom