Hotuba ya Rais Kikwete Sept 30, 2012

Najuta kupoteza usingizi wangu bure ! Marehemu Mwangosi kabla haja uwawa kinyama na polisi alisema "Mimi sija shiba kwa maelezo yako" alitoa kauli hii wakati wa asubuhi alipo kuwa anamuliza kamuhanda swali na kupewa majibu ambayo hakuridhika nayo.

Ndiyo ninavyo kwenye hotuba ya raisi! Hotuba yeke ni nyepesi sana kuliko majanga makubwa ya vifo yaliyo likunba taifa!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.

Ameelezea siasa za vyama vingi zisiwe ndiyo chachu kuvunja amani. Jee, hukubaliani na hilo?
 
Mbona kama ana shawishi kutokufanya maandamano na mikutano!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.

umeona eh..?hana tofauti na wenzake.Katik Hili ndipo alipoaswa kuwaambia polisi wazi kuwa wasiweke vipingamizi visivyo na nia njema kwa upinzani.leo ndipo alipaswa kubali kuwa vyama vimekuwa na taasisi za kijamii zimekomaa vya kutosha.Leo ndio ingebidi kutangazia taifa kuwa kesi za kipuuzi za serikali zitafitwa kama sehemu ya mahusiano mema,leo ndipo angesema polisi waliohusika watashughulikiwa vyema.

kaishia jitahidi pitisha msga ya kujificha kuwa asasi za kiraia na vyama vya upinzani ndivyo vinahamasisha vurugu, vyma vya upinzani vinafanya fujo n akupiga wafuasi wa vingine kkt mikutano.kwa nayefuatilia news anajua jamaa anaongea nini?Ni habari ileile wanayoongea CUF.Na upande wa polisi hajaona shida huyu raisi.Hii inaonyesha nahusika kutuma hii habari.
 
DHAIFU kamwe hawezi kuzungumza la maana lolote zaidi ya kubwabwaja vitu visivyokuwa na kichwa wala miguu. Kuna ombwe kubwa sana la uongozi nchini.

Najuta kupoteza usingizi wangu bure ! Marehemu Mwangosi kabla haja uwawa kinyama na polisi alisema "Mimi sija shiba kwa maelezo yako" alitoa kauli hii wakati wa asubuhi alipo kuwa anamuliza kamuhanda swali na kupewa majibu ambayo hakuridhika nayo.

Ndiyo ninavyo kwenye hotuba ya raisi! Hotuba yeke ni nyepesi sana kuliko majanga makubwa ya vifo yaliyo likunba taifa!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
Anatuhadaa huyu kana kwamba sisi ni wa mwaka 1970 ambao hawakuijua dunia? Kwanza huko Marekani anaoenda mara nyingi ameona nchi nzuri inavyopendeza kwa natural vegetation ukilinganisha na Tanzania? Yes Tanzania tuna rasilimali nyingi hasa madini, maziwa, lakini hili la ardhi nzuri asitudanganye, tumeiona dunia bana.
hapo ndio tunapodanganywa na wanasiasa

ukienda kwa wenzetu natural greens zipo hadi mijini wanaziprotect... sisi tunawauzia wao waje kumaliza
 
hapo ndio tunapodanganywa na wanasiasa

ukienda kwa wenzetu natural greens zipo hadi mijini wanaziprotect... sisi tunawauzia wao waje kumaliza

tatizo la dhaifu anafikiri watannzania wote wana akili kama zakina rizione na mwanahawa...
 
Mkuu na kulahumu kwa nini umepoteza muda?
Najuta kupoteza usingizi wangu bure ! Marehemu Mwangosi kabla haja uwawa kinyama na polisi alisema "Mimi sija shiba kwa maelezo yako" alitoa kauli hii wakati wa asubuhi alipo kuwa anamuliza kamuhanda swali na kupewa majibu ambayo hakuridhika nayo.

Ndiyo ninavyo kwenye hotuba ya raisi! Hotuba yeke ni nyepesi sana kuliko majanga makubwa ya vifo yaliyo likunba taifa!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
Kila sentensi anataja neno "amani"
Sijamsikia akitaja neno "haki"

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Kuna vijineno hupenda vitumia ili kujenga premise za kuja waogopesha watanzania kuhusu CDM.Hujamsikia na Zitto naye kataja umri wa kuleta mageuzi ya kiuchumi?Hujawasikia CUF kuhusu wanchama kupigwa huku presidaa naye akilisema hilo kwa staili ya kubeep?

Hii ndio CCM bwana.Katumia maneno kwa tahadhari kubwa ila bado kabaki uchi sana.Kwa ujumla si rais ninayewez ajivunia popote duniani.Hotuba ya leo ni kam alikuwa anawalilia watanzania waone kuwa asasi za kiraia na CDM hawaiatakii nchi Amani wala Msikamano...

Kiitikio AMANI alikuwa kitumia kuneutralize biaseness yake anapofikia sentence iliyo wazi kuwa nawasema nani, na jinsi gani hajajiandaa kuja na kauli ya kiserikali na si ya kichama.Kwa ujumla kajianika hadi kwa washirika wa kimataifa kuw ahana nia ya ya kupambana na haya mambo ya kuvunja haki za binadamu kama si mmojawapo ya washiriki wa haya mauaji.
 
kwa mtu makini aliefatilia hotuba hii kwa makini hawezi ku comment as u did here.poor u.

kuna watu wanafikra finyu sana, wanaamini kila analofanya jk anakosea na hakuna hata moja analoweza kufanya vzr.
Wanaamini wale wanaowapenda wanapatia sana, wakosahihi na siku wakitawala hawatakosea na wataibadili tz kuwa ya kipekee.

Wametawaliwa na hisia hasi zilizopindukiwa na wana matumaini ya kufikirika.
Wanaota mchana, mwanadam ni yuleyule, anamazuri na mabaya yake.
 
Kwa nini lowasa asinge toa hotuba tuu!

Ndio nakumbuka kipindi napita pale nje ya Kilimanjaro mida ya saa 5-6 namkuta akila madafu pale nje na kuangali bahari kama vile kichwaailikuwa ikifikiria mbali sana.Kipindi hicho Kili ilikuwa Gofu .Alipendelea sana kishati chake cha batik kumbe alikuwa akiwaza urais tuu na si urais wa kutukuka.Leo anatumia TV ya Taifa na muda wa watanzania kutoa hotuba isiyokuw ana tofauti na ukurasa wa nape wa Facebook.Huyu jamaa hana uzitow a kumsafisha Lowasa.Na CCM kwa ujuma wake haiwezi mshinda Lowasa na wote kwa pamoja hawawezi simama na CDM.CDM watawafunga mikia yao kwa pamoja na kuiwasha kwa mioto wakaichome kambi yao wenyewe.
 
Halafu mbona hakuongea lolote kuhusu Sheik Ponda + uhamsho na vurugu zao ktk jamii yetu?
 
hivi badala ya kupoteza muda kumwangalia kikwete si bora ufungulie katuni ..
 
kuna watu wanafikra finyu sana, wanaamini kila analofanya jk anakosea na hakuna hata moja analoweza kufanya vzr.
Wanaamini wale wanaowapenda wanapatia sana, wakosahihi na siku wakitawala hawatakosea na wataibadili tz kuwa ya kipekee.

Wametawaliwa na hisia hasi zilizopindukiwa na wana matumaini ya kufikirika.
Wanaota mchana, mwanadam ni yuleyule, anamazuri na mabaya yake.

Unayempenda hajaaongea kwa authority na hakuwa na malengo.Alichokuwa akifanya ni ku solicit watazamaji kumkubali anachoongea hata kama hakina logical flow wala clear msg.

Presidaa alipaswa ongea maneno machache yenye clear msg hata kwa raia asiye na ufahamu mkubwa wa mambo.Kwa wanaofahamu hapa ni kuw aalikuwa akizunguka mbuyu bila kusem awazi wazi attacks zake kwa CDM.
 
Halafu mbona hakuongea lolote kuhusu Sheik Ponda + uhamsho na vurugu zao ktk jamii yetu?

Ataongea nini sasa wakati ""man Alone"" ,"Lonel dog" Mtikila keshamaliza na kushinda kuwa huyu jamaa+ponda+cuf+bakwata+zitto lengo ni moja.
 
Back
Top Bottom