Ground Zero
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 342
- 95
- Thread starter
- #41
Acha habari za enzi hizo wewe! nisubiri kidogo?unadhani nina kazi tu ya kuangalia tbc?muwe specific siku nyingine.
Mnaweka hotuba ya rais saa 4 ili watoto wanaofuatilia tamthilia waangalie?maana watu wazima mida hii wako bize kama si kujaza dunia basi wapo kwenye home library zao kuongeza maarifa.

siku nyngne uwe una subira kdogo..