Anderson Shimb
Senior Member
- Dec 23, 2013
- 169
- 25
Wananchi ambao walijitahidi kufika Uwanjani wakionekana na kuwa na nia mbili kuu; Kwanza kusikia toka kwa kiongozi ngazi ya Taifa tena kiongozi mkuu wa kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, mambo muhimuambayo yatawaondolea huzuni ya kukosa maji safi na salama, barabara bora ndani ya maeneo ya vijijini, jinsi ya kuboresha mishahara ya watumishi wakiwemo walimu na mafaktari, jinsi ya kuboresha shule za kata ziwe na maktaba nzuri na kuongeza ufaulu wa masomo ya Sayansi, kuongeza upatikanaji wa madawa hospitalini, jinsi ya kuongeza kipato cha mwananchi wa chini, jinsi ya kutafuta masoko ya mazao ya wakulima.
Pili wananchi wa Geita walitegemea jipya sana juu ya kwanini kumekuwepo ulazima wa kutumia gharama kubwa kiasi hicho Tshs Mil.900 kwa siku 14 tu, kuzunguka na hekcopta 3! .
Wananchi badala ya kusikia hoja za maswali yao hayo ambayo yangewapa matumaini, waliambulia patupu pale Mh.Mbowe alipowahutubia na kuwaeleza mambo ambayo yaliwaacha midomo wazi wakabaki wameduwaa; aliwasimulia juu ya jinsi alivyokaidi amri ya Naibu Spika bungeni, tena akawa anajitapa na kusema "nikataa kukaa", aliongeza kwa kusema kuwa eti alitaka kuzichapa lakini akaahirisha akawaachia "makamanda", Wabanchi wa Geita walitafakari kuwa kitendo hicho kilikuwa ni utovu wa nidhamu, walihoji kuwa mbona hakunukuu kifungu gani cha kanuni alichotumia kukataa kukaa? Pia wananchi walibaki na sintofahamu pale walipoambiwa kuwa kama wananchi wataamua kuwa hawataki serikali tatu, wanachadema watakuwa tayari kuona meno yanamwagika!, maneno haya yaliadhiria umwagaji damu. Wananchi wa Geita pia wslidhangazwa na mabango yaliyokuwa yakimdhihaki Mh.Zitto na wakati huo huo Mbowe akishadadia kuwa waandishi wa habari wayapige picha, swali vichwani mwa watu hawa likawa, Mbona awali ilisemekana kuwa hakuna ajenda ya Zitto kwenye OPD?, Kingine ni ajabu kuona kuwa wajumbe wote wale wa baraza kuu wamekusanywa na kufanya mkutano wa siri ktk ukumbi ambao jina limehifadhiwa kwa sababu za kibiashara. Ajenda ni kummaliza Zitto kwenye baraza alikokata rufaa. Wana Geita waliotutumia taarifa hii, wameuliza kuwa; hivi kuna mambo gani muhimu saaana na yalazima saana ambayo yasingeweza kuongelewa na viongozi ngazi ya Mikoa na Wilaya? Je Viongozi wa Wilaya na Mikoa ni mbumbumbu kiasi cha kushindwa kueleza juu ya mchakato wa Katiba, pia juu ya Serikali tatu,Juu ya ngumi Bungeni na utovu wa nidhamu wa Mbowe? Wameapa kutouunga mkono harakati zozote za Mbowe na chama chake kuwaandamanisha wana Geita.