Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,278
- 4,683
Burkinafaso Inanukia Hapa Hakyamungu
Acha uongo ndugu. Utaweza wewe kuingia barabarani kweli au ni kuongea tu nyuma ya keyboard?
Burkinafaso Inanukia Hapa Hakyamungu
Kama mnasubiri hotuba ya rais Kikwete mkitegemea maamuzi chanya kwenye suala la Escrow basi mnapoteza muda wenu tu.
Kesho mwizi wa escrow na dalali mhimu katika wizi huo ndugu Prof Muongo anaanza ziara rasmi ya kiserikali mkoani mara.
Hii inatafsiriwa kuwa ktk hotuba ya mwenye jamhuri, watuhumiwa wa escrow sio sehemu ya agenda zake na wala hatambui uwepo wa agizo la Bunge.
Maandalizi yote kwaajili ya ziara hiyo ya le prof Muongo yamekamilika.
Atatembelea wachimbaji wadogo wilaya ya butiama, mgodi wa nyamongo na kueleza mafanikio ya wizara kuhusu umeme vijijini.
Atatoa mitaji kwa wachimbaji wadogo wadogo na kueleza fursa zilizopo katika Mkoa wa Mara, pia atatembelea wilaya zote na kuzungumza na wananchi.
Yericko, na mimi nataka iwe hivyo. Asifanye chochote kuhusika na Escrow scandal wala asigusie kabisa suala hilo kwenye hotuba zake.
Kwa nini kumlazimisha mtu mzima atazame anga kana kwamba ni kitu kidogo kilichofichika??? NOOOO.
Attitude yake iko bayana, msimamo wako uko wazi sana.....ni hivi yeye na Escrow thugs lao moja. So asishinikizwe kufanya asilo taka wala kuliamini.
Na ni vizuriii asipofanya lolote ndio anakimaliza chama chake unajua hela alishachukua na watazitumia kwenye kampeni sasa unadhani watarudi nyuma? No Way ila sasa sijui Hao wahisani na misaada inakuwaje
Utaandamana wewe na mkeo. We bila shaka muhongo anakusugua sio bure.
This guy is inciting violence.
Who is inciting violence?
Mimi nitangulie kumpa HONGERA Rais wetu kama atakuwa amekataa kuburuzwa na Bunge kwa jazba, hasad, visasi, kukomoana na kukamiana kwingi.Anakimaliza chama chake kivipi hebu elaborate,nyinyi hamna akili pelekeni watoto wenu shule hata haki zenu hamzijui kazi zenu kupiga kelele tu!
Leo tarehe 22 Desemba, 2014 Mhe. Zuma atakutana kwa mazungumzo rasmi na Mhe. Rais Kikwete Ikulu kabla ya kuondoka nchini mchana wa leo kurejea nchini kwake. Nahisi hayo mazungumzo ndo yamefanya waandishi wa Habari waitwe. Kutakua kuna msaada Tanzania inaahidiwa.
Acha uongo ndugu. Utaweza wewe kuingia barabarani kweli au ni kuongea tu nyuma ya keyboard?
Hizi akili zipo Tanzania au naota?Kwahiyo wewe unataka nani awajibishwe kwakosa gani pengine!
Mtu mvivu na mwoga wa mabaliko huwa anaishia kufanya assumption za Kijinga.Mhongo ataenda Ndugu yerico this he is preparing for his campaign ya ubunge, although I support ccm I blv no lazima awajibike. Nchi kwanza siasa baadaye. I hope you guys at cdm will be the same when it comes to national interest.