More Tiz
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 2,232
- 426
Yeriko nyerere, Binafsi nafarijika kwa kuona jamaa halishughulikii suala la escrow kwa sababu
1. Atatuongezea bure mzigo wa kuendelea kutunza mawaziri kwa kututumikia mda mdogo uliobaki.
2. Escrow imeshawauwa na hawana la kuokoa hata abadilishe baraza lote.
3. Kuna mjumbe mmoja wa lumumba alishasema jk hana human resource ya kutosha kuunda baraza kama atalifumua. Kumbuka kuwa wengi wao ni std seven, na wale wenye walau degree wameshavurunda na hawana tija. Huoni amewapa uwaziri mpaka viti maalumu?????
4. Kulingana na usemi wa askof kilaini kuwa jk ni chaguo la Mungu kwani atasaidia ukombozi wa nchi hii kufika mapema zaidi. Imagine isingekuwa Escrow unadhani elimu ya uraia ingesambaa haraka kama ilivyosambaa.
5. Watanzania wengi ni wagumu kuelewa bila kupatwa na shida. Hivyo kukatwa misaada kwa ajili ya escrow inasaidia sana watanzania kuamini kile ninachoongelewa na hivyo kuamka usingizini.
Hivyo mimi nadhani tumuombee aendelee kuwa kimya ili aokoe Taifa kwani linakoelekea ni pabaya zaidi endapo atachukua hatua kuliko kukaa kwake kimya.