Leo tarehe 22 Desemba, 2014 Mhe. Zuma atakutana kwa mazungumzo rasmi na Mhe. Rais Kikwete Ikulu kabla ya kuondoka nchini mchana wa leo kurejea nchini kwake. Nahisi hayo mazungumzo ndo yamefanya waandishi wa Habari waitwe. Kutakua kuna msaada Tanzania inaahidiwa.
Mkuu Feedback, ujue kiukwewli mimi sio Team Lowassa, bali ni team ukweli!, kiukweli Lowassa ndie the best CCM has so far!. Tatizo la CCM ni ule mtindo wake wa kuwaacha the best na kukumbatia makapi!, reference ni 2005!.
Siku zote ninachopigania humu ni ukweli usemwe!.
Pasco
Yericko, na mimi nataka iwe hivyo. Asifanye chochote kuhusika na Escrow scandal wala asigusie kabisa suala hilo kwenye hotuba zake.
Kwa nini kumlazimisha mtu mzima atazame anga kana kwamba ni kitu kidogo kilichofichika??? NOOOO.
Attitude yake iko bayana, msimamo wako uko wazi sana.....ni hivi yeye na Escrow thugs lao moja. So asishinikizwe kufanya asilo taka wala kuliamini.
Khe, naye alikuwa huko?!Yericko,
Mbona CHADEMA mmeiteka nyara hoja ya Escrow? Eti hata Mzee Ntagazwa anatumia ushushushu wake wa zamani kujua Rais wetu ataongea nini leo!
Kama mnasubiri hotuba ya rais Kikwete mkitegemea maamuzi chanya kwenye suala la Escrow basi mnapoteza muda wenu tu.
Kesho mwizi wa escrow na dalali mhimu katika wizi huo ndugu Prof Muongo anaanza ziara rasmi ya kiserikali mkoani mara.
Hii inatafsiriwa kuwa ktk hotuba ya mwenye jamhuri, watuhumiwa wa escrow sio sehemu ya agenda zake na wala hatambui uwepo wa agizo la Bunge.
Maandalizi yote kwaajili ya ziara hiyo ya le prof Muongo yamekamilika.
Atatembelea wachimbaji wadogo wilaya ya butiama, mgodi wa nyamongo na kueleza mafanikio ya wizara kuhusu umeme vijijini.
Atatoa mitaji kwa wachimbaji wadogo wadogo na kueleza fursa zilizopo katika Mkoa wa Mara, pia atatembelea wilaya zote na kuzungumza na wananchi.
Alikuweko zamani. Ana machungu mengi usimwone vile.Khe, naye alikuwa huko?!
kama mnasubiri hotuba ya rais kikwete mkitegemea maamuzi chanya kwenye suala la escrow basi mnapoteza muda wenu tu.
Kesho mwizi wa escrow na dalali mhimu katika wizi huo ndugu prof muongo anaanza ziara rasmi ya kiserikali mkoani mara.
Hii inatafsiriwa kuwa ktk hotuba ya mwenye jamhuri, watuhumiwa wa escrow sio sehemu ya agenda zake na wala hatambui uwepo wa agizo la bunge.
Maandalizi yote kwaajili ya ziara hiyo ya le prof muongo yamekamilika.
Atatembelea wachimbaji wadogo wilaya ya butiama, mgodi wa nyamongo na kueleza mafanikio ya wizara kuhusu umeme vijijini.
Atatoa mitaji kwa wachimbaji wadogo wadogo na kueleza fursa zilizopo katika mkoa wa mara, pia atatembelea wilaya zote na kuzungumza na wananchi.
Muhongo akiondolewa Watanzania wote nchi nzima tutaandamana kupinga
Muhongo akiondolewa Watanzania wote nchi nzima tutaandamana kupinga