...acha wamalizwe tu hao waswahili,muhongo lete fedha homewanajukwaa, yule waziri anayetuhumiwa kuwa dalali wa mafisadi wa uchotaji wa fedha za escrow, sospeter muhongo, amemwaga fedha nyingi inayosadikiwa kupita mil 45 kwa ajili ya mapokezi atakayoyapata katika ziara yake mkoani. Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la nyangwene masirori ndiye anayegawa fedha hizi.ambapo wenyeviti wa vijiji atakazopitia wanalewa laki tano.
Muhonga ndiyo nani hapa tanzania?
Kama mnasubiri hotuba ya rais Kikwete mkitegemea maamuzi chanya kwenye suala la Escrow basi mnapoteza muda wenu tu.
Kesho mwizi wa escrow na dalali mhimu katika wizi huo ndugu Prof Muongo anaanza ziara rasmi ya kiserikali mkoani mara.
Hii inatafsiriwa kuwa ktk hotuba ya mwenye jamhuri, watuhumiwa wa escrow sio sehemu ya agenda zake na wala hatambui uwepo wa agizo la Bunge.
Maandalizi yote kwaajili ya ziara hiyo ya le prof Muongo yamekamilika.
Atatembelea wachimbaji wadogo wilaya ya butiama, mgodi wa nyamongo na kueleza mafanikio ya wizara kuhusu umeme vijijini.
Atatoa mitaji kwa wachimbaji wadogo wadogo na kueleza fursa zilizopo katika Mkoa wa Mara, pia atatembelea wilaya zote na kuzungumza na wananchi.
Washaambiwa wakienda milimani wataikuta milima imegeuka theluji....wakikimbilia baharini wataikuta bahari inachemka....where are they gonna hide?/Kama mnasubiri hotuba ya rais Kikwete mkitegemea maamuzi chanya kwenye suala la Escrow basi mnapoteza muda wenu tu.