Mnastahili kuwa huru kwa mengi mliyopitia miaka 22 ya vita vya wenyewe ubaguzi wa mali elimu na dini ,viliwatesa sana,nawatieni nchi huru yenye amani na upendo adui wenu sasa ni umaskini pambaneni nao mpaka uondoke
Watani wetu wa jadi wamepata bonge la deal Mombasa port aiseee .......mafuta yatapitishwa kwao...badala ya port sudan bonge la business deal