Alwaz
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,126
- 10,839
Yale yale!.Kasumba za kikoloni.Equatoria Republic
Si afadhali iitwe janub suudan lugha waliyoizoea
Yale yale!.Kasumba za kikoloni.Equatoria Republic
Yale yale!.Kasumba za kikoloni.
Si afadhali iitwe janub suudan lugha waliyoizoea
What about Nubia? si ndio ilikua jila lao kabla ya ukoloni?South Sudan
Muda si mrefu South Sudan itakaa kuamua jina jipya la nchi yao.Jee unapendekeza jina gani?.Mji mkuu uwe Juba au wapi?.Lugha ya taifa iwe kiarabu au Kiswahili
TUnachangia tu kwa kujifurahisha. Hivi unadhani hakuna watu wa south soudan huku? Na wenyewe ni wa East African CommunityHivi na sisi tupo Sudan Kusini au?, Sisi Nchi yetu ni Tanzania hivyo ni Busara kuwaachia wenyewe wafanye maamuzi yao wenyewe.
Muda si mrefu South Sudan itakaa kuamua jina jipya la nchi yao.
Jee unapendekeza jina gani?.Mji mkuu uwe Juba au wapi?.Lugha ya taifa iwe kiarabu au Kiswahili
Nafurahi una kumbukumbu nzuri,lakini hii hoja naona haina mzozo na ile tuliyoiita Njama za kuimega Sudan.Kiswahili. Lakini Ami samahani naomba nikukumbushe mjadala wa mwaka jana ulibisha sana kuwa wasudan kusini hawatajitenga. ukasema matatizo ya sudan kusini yamekuzwa na magharibi. Nadhani sasa umeelewa kuwa waafrika wa sudani walikuwa wanateswa sana. Nadhani sasa umeona tofauti kati ya waarabu wa sudan na waafrika wa sudan. maana ulikuwa unasema sudan wote ni weusi.
Mkuu ukiwa unaandika usiwe na haraka yaani kaa chini fikiria na uandike,au Kiswahili ndo kinapita pembeni kwenye kukiandika.[h=1][/h]Written by amini // 14/07/2011 // Habari // 7 Comments
South Sudan yatowa pesa yake wenyewibar e, Zanzibar wasema tulinde na tudumishe Muungano wa Tanganyika na Zanzanzibar wakati Tanganyika imeingia kizani.
Samuel Sitta kuna msemo wa Kiengereza unasema samani ya kuwa huru nipora kuliko Pande la Zahabu au Almasi( To be freedom is better then gold or daimon).
Kwa hio kama mutaendelea kututawala na kukataa mfumo wa Serekali tatu basi mimi nahisi Katiba itakuwa haina maana nikuja kujingiza ktk kitanzi cha kunyongwa Zanzibar wenyewe.
Chaumuhimu kwa sasa ilikuwa Tanganyika ifanye mchakato wa kurudicha Tanganyika yake na katiba yake kulikoni kwenda mbele na kuacha umuhimu wa nyuma.
Mimi huwachangaa Viongozi wa SMZ kusema tusubiri Katiba na mamuzi ya Bunge 2014 kuelekea uchaguzi mkuu?.
Lakini kwa upande wa Zanzibar jee itatusaidia nini katiba ya Muungano wa Tanzania wakati Tanganyika haipo kiimla ni Tanzania?.
Hii nikupigwa changa la macho Wzanzibar na kuburuzwa kwa kuto tumia akili hakuna asie juwa kuwa Tanzania ndio Tanganyika kwa kila kitu na mambo yote yako wazi kujuwa , kuanzia katiba,Nembo ya nchi ya Taifa,Bendera, hata mambo ya njee hujiwakilicha tu kwa jina la Tanzania kuomba misada lakini ikifika nchini hutumika kwa mahitajio ya Tanganyika.
Mimi nasema Wabunge,Wawakilishi na Wzanzibar wote kwa ujumla nilazima tuwakamate Koni Wtanganyika kunda mfumo wa Serekali tatu kama mwanza yani Tanganyika,Zanzibar na yashirikicho yani ya Muungano? wakilataa hivyo basi hakuna maana kujadili katiba, maana mundo wa katiba hii ni waserekali moja yani Repblic of Tanzania/Tanganyika.
Jee Wzanzibar(SMZ) munakubali tuwe na mfumo huu wa serekali 1, yani Serekali ya Watu wa Tanzania kumbe ni Wtanganyika wanatufoolish na huku yao yanawaendea halafu wasema hawataki Tanganyika kurudi? wanajuwa kuwa Tanganyika ndio hii Tanzania ya sasa.
Sasa irudi Tanganyika vipi wakati ndio hii? na misada yote na mambo yaso yote hutumika kwa mwevuli wa Tanzania.