Hongera South Sudan!

[h=1][/h]Written by amini // 14/07/2011 // Habari // 7 Comments South Sudan yatowa pesa yake wenyewibar e, Zanzibar wasema tulinde na tudumishe Muungano wa Tanganyika na Zanzanzibar wakati Tanganyika imeingia kizani.Samuel Sitta kuna msemo wa Kiengereza unasema samani ya kuwa huru nipora kuliko Pande la Zahabu au Almasi( To be freedom is better then gold or daimon).Kwa hio kama mutaendelea kututawala na kukataa mfumo wa Serekali tatu basi mimi nahisi Katiba itakuwa haina maana nikuja kujingiza ktk kitanzi cha kunyongwa Zanzibar wenyewe.Chaumuhimu kwa sasa ilikuwa Tanganyika ifanye mchakato wa kurudicha Tanganyika yake na katiba yake kulikoni kwenda mbele na kuacha umuhimu wa nyuma.Mimi huwachangaa Viongozi wa SMZ kusema tusubiri Katiba na mamuzi ya Bunge 2014 kuelekea uchaguzi mkuu?.Lakini kwa upande wa Zanzibar jee itatusaidia nini katiba ya Muungano wa Tanzania wakati Tanganyika haipo kiimla ni Tanzania?.Hii nikupigwa changa la macho Wzanzibar na kuburuzwa kwa kuto tumia akili hakuna asie juwa kuwa Tanzania ndio Tanganyika kwa kila kitu na mambo yote yako wazi kujuwa , kuanzia katiba,Nembo ya nchi ya Taifa,Bendera, hata mambo ya njee hujiwakilicha tu kwa jina la Tanzania kuomba misada lakini ikifika nchini hutumika kwa mahitajio ya Tanganyika.Mimi nasema Wabunge,Wawakilishi na Wzanzibar wote kwa ujumla nilazima tuwakamate Koni Wtanganyika kunda mfumo wa Serekali tatu kama mwanza yani Tanganyika,Zanzibar na yashirikicho yani ya Muungano? wakilataa hivyo basi hakuna maana kujadili katiba, maana mundo wa katiba hii ni waserekali moja yani Repblic of Tanzania/Tanganyika.Jee Wzanzibar(SMZ) munakubali tuwe na mfumo huu wa serekali 1, yani Serekali ya Watu wa Tanzania kumbe ni Wtanganyika wanatufoolish na huku yao yanawaendea halafu wasema hawataki Tanganyika kurudi? wanajuwa kuwa Tanganyika ndio hii Tanzania ya sasa.Sasa irudi Tanganyika vipi wakati ndio hii? na misada yote na mambo yaso yote hutumika kwa mwevuli wa Tanzania.
Wabara tumechoka kusikiliza kelele za Wazanzibari! Muungano uvunjike tu kama muungano ni muhimu tuungane na nchi zinazouhitaji muungano kama vile nchi zilizo katika EAC tuachane na vinchi uchwara kama Zanzibar, kila siku wanataka kubebwa, kila wakati wanaona sisi tunawanyonya lakini mi sioni kitu cha maana zanzibar, maneno ya vijiweni kuwa wana mafuta yamewapa kichaa. Sasa ngoja muungano uvunjike kitakachofuata pale ni bora hata somalia na kilichotokea Rwanda. Na tunapovunja muungano tukubaliane kabisa kuwa tusiruhusu aina yoyote ya wakimbizi kutoka upande wa pili baada ya muungano. utasikia habari yake.
 
Back
Top Bottom