Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
najuta kupoteza muda wangu kusoma upuuzi huu. hivi huko mashuleni mlienda kufanya nini?
Mkuu Ni uelewa tu usisome kama gazeti soma katikat ya mistari..
najuta kupoteza muda wangu kusoma upuuzi huu. hivi huko mashuleni mlienda kufanya nini?
Hatuendelea mpaka yesu arudi....walimu wenyewe ndo hao..
Tutaendeleaje ikiwa hata wewe unayejiona elite baada ya kutuhangaisha sana kukufundisha bado hujajua hata kuandika vizuri?
Bora walimu tujichukulie pesa za bure za serikali yetu sikivu, siku serikali ikiamuka tutarudi kuwaelimisheni.
Wakatwe tu walimu..maana tushachoka..wao ndo wanatumiwa kuiba kura...sasa waache wakatwe..madereva tu wanagoma lakin wao wanashindwa kugoma...ndo maana walifel shulen....
toa ushahidi kama walimu walifeli..... halafu weka na ufaulu wako hapa..
Wakatwe tu walimu..maana tushachoka..wao ndo wanatumiwa kuiba kura...sasa waache wakatwe..madereva tu wanagoma lakin wao wanashindwa kugoma...ndo maana walifel shulen....
Hatuendelea mpaka yesu arudi....walimu wenyewe ndo hao..
Mkuu..lakin kumbuka ualimu ni wito mkuu...ni kaz ya kujitolea kwa moyo na kutarajia malipo mbinguni mkuu...
Hata mimi nawapongeza sana serikali, kukata kiwango hicho Kwa walimu, hasa ukizingatia mishahara ya walimu ni nafuu kuliko watumishi wengine wa umma, Na pia wao ndio wanapata shida sana katika kazi zao kutakana Na ukosefu wa maabara...
Na shuke ni mali ya wananchi piaKwann wakatwe waalimu tu?? Jukumu la kumsomesha mtoto wa kitanzania ni la watu wote. Kwann mwalimu tu ndiyo akatwe?????
Tarifa ya kijinga mimi na mke wangu sote walimu sijaona makato hayo au unazungumzia makato ya walimu gani labda walimu wa ngumi.