Hongera Serikali kwa makato ya mishahara ya Waalimu

.... Elfu Kumi Tu Kwa Suala La Msingi Kama Hilo? Waongeze Angalau 50 Elfu Tu.!
 
Hatuendelea mpaka yesu arudi....walimu wenyewe ndo hao..

Tutaendeleaje ikiwa hata wewe unayejiona elite baada ya kutuhangaisha sana kukufundisha bado hujajua hata kuandika vizuri?
Bora walimu tujichukulie pesa za bure za serikali yetu sikivu, siku serikali ikiamuka tutarudi kuwaelimisheni.
 
mi nasema wakatwe tu! eeh mana tumechoka
hamna namna nyingine wakateni tu!
 
Tutaendeleaje ikiwa hata wewe unayejiona elite baada ya kutuhangaisha sana kukufundisha bado hujajua hata kuandika vizuri?
Bora walimu tujichukulie pesa za bure za serikali yetu sikivu, siku serikali ikiamuka tutarudi kuwaelimisheni.

Mkuu..lakin kumbuka ualimu ni wito mkuu...ni kaz ya kujitolea kwa moyo na kutarajia malipo mbinguni mkuu...
 
Hii Serikali dhaifu hii, Serikali inayoshindwa kukusanya kodi....Mimi wakigusa tu salary yangu watajuta kunifahamu....kwanza nawasaidia kuwalipa mshahara walimu wawili wa Shahada kupitia PAYE halafu wanichangishe na vimichango vya kipumbavu wakati ni wajibu wao....aseeeeeee.
 
Wakatwe tu walimu..maana tushachoka..wao ndo wanatumiwa kuiba kura...sasa waache wakatwe..madereva tu wanagoma lakin wao wanashindwa kugoma...ndo maana walifel shulen....

toa ushahidi kama walimu walifeli..... halafu weka na ufaulu wako hapa..
 
Ila inawezekana. Wilaya ya kilosa toka mwaka huu 2015 uanze hrujawahi kusikia kuwa salary slips zimetoka. Wilaya mtuhakikishie kama mmepata salary slips za mwaka huu wa 2015? Maana bila kuona salary slips ni vigumu kujua ni makato gani yamefanyika
 
Ila inawezekana. Wilaya ya kilosa toka mwaka huu 2015 uanze hatujawahi kusikia kuwa salary slips zimetoka. Wilaya nyingine mtuhakikishie kama mmepata salary slips za mwaka huu wa 2015? Maana bila kuona salary slips ni vigumu kujua ni makato gani yamefanyika
 
Wakatwe tu walimu..maana tushachoka..wao ndo wanatumiwa kuiba kura...sasa waache wakatwe..madereva tu wanagoma lakin wao wanashindwa kugoma...ndo maana walifel shulen....

Hatuendelea mpaka yesu arudi....walimu wenyewe ndo hao..

Mkuu..lakin kumbuka ualimu ni wito mkuu...ni kaz ya kujitolea kwa moyo na kutarajia malipo mbinguni mkuu...

Ndg yangu zuuth waiba kura wategemee malipo mbinguni!
Mbingu ipi unayoizungumzia?
Au unachangia tu ilimradi?
Ni hatari sana kuwa na watu kama wewe wanaojiona wameelimika huku hata kuunganisha mawazo kunawapa tabu.
Ulifaulu kwa kiwango gani ndg?
 
Last edited by a moderator:
Mimi sioni kama kuna haja ya kulalamikia serikali. Tuoneshe uzalendo wa kweli. Tujenge taifa letu.
 
Hata mimi nawapongeza sana serikali, kukata kiwango hicho Kwa walimu, hasa ukizingatia mishahara ya walimu ni nafuu kuliko watumishi wengine wa umma, Na pia wao ndio wanapata shida sana katika kazi zao kutakana Na ukosefu wa maabara...

mishahara ya waalimu ni nafuu kuliko watumishi wengine kivipi?
 
Mie ni mwalimu...... Mtu akigusa salary yangu naacha job walahi! Mkataba haupo hivyo!
 
Kama ni kweli basi walimu weshaonwa maboya Sana nchi hii.

Mbona wabunge hawakukatwa mishahara yao ili kujenga ukumbi mpya wa bunge?

Ina maana silaha mpya zikihitaji,wanajeshi ndo watakatwa mishahara?

Wahusika acheni utoto.
 
Back
Top Bottom