Pengo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2009
- 579
- 10
bado kidogo watamteua kuwa jaji, hililinchi bwana yaani jaji mkuu unakaa kupiga picha na hako kajamaa badala ya kuwahi kutoa hukumu za haki au nawewe ndo kujipendekeza tu kwa mkulu.
Chuki itakupeleka wapi wewe>?!>:
Kweli miafrika mingine ovyo kabisa,kwani kunya anye kuku akinya bata kaharisha!Utakufa nacho kiriba cha roho,kwani aliyekupa wewe mfupa ndiye aliyempa mwenzio nyama na nyama bila ya mfupa haitaitwa nyama hivyo wote sawa tuu acha chuki binafis wewe!