Hongera mheshimiwa Jakaya Kikwete kwa uamuzi mgumu, sasa wapinzani hawana cha kuongea!

hongera kwa pongezi japo katika kutekeleza jukumu lako umekosea njia

nenda kwenye facebook page yake post pongezi zako huko maana yeye sio mpitaji huku kama ilivyo kwa wanasiasa wengine kama wakina dr. Slaa

kwa ushauri mzuri tu na wa maana, ni vema ukapeleka kule ni rahisi kwake kusoma kuliko kutuletea sie.......

and if you are thinking mmenytang'anya wapinzani (namaanisha wapinzani) hoja basi you are deadly wrong......kamasi litawatoka sana..........hoja mtakuwa mmewanyang'anya wale wanandoa wenzenu wale

watakao pita watamuambia kama amepewa pongezi. Hata mie nampa pongezi, na uhakika kuwa hata wewe kanafsi kanakubali alichokifanya. Na ninasikia kwa maamuzi hayo cdm kibao wanajiandaa kurudi kundini ccm
 
saigoni acha ubabe rudi kundini. Magamba yote yamepigwa chini

CDM sasa wanatapa tapa hawana cha kuongea,coz CCM is now moving to another step,baada ya kuunda safu nzuri sasa tunaelekeza nguvu zetu katika kuwafanyia kazi watanzania
 
siku nikija amini kuwa nyoka anaweza kuwa kuku, ama simba huwa mlezi wa mbuzi nitampa hongra huyo kigwasa
 
Mkuu hivi kile kidude cha groan mnacho tu nyie premium members eeh? Nakitafuta ile mbaya! Hawa jamaa si ndo wamerudi kutoka dodoma...kila mara ushuzi tuu...watu tusitulie jamvini jamanii!
The following user groaned Kashaga for this useless post
genekai (today)
 
nipende kuuangana na watanzania wenzangu kukupongeza kwa uamuzi mgumu uliouchukua wa kusafisha chama cha mapinduzi,kwa mtu yoyote aliyekomaa kisiasa na mwenye busara hawezi kushindwa kutoa pongezi zake kwani ni viongozi wachache sana katika dunia hii wanaoweza kusafisha chama tena kwa kuondoa viongozi wa juu kabisa,hili liwe fundisho kwa wapinzani hapa nchini kwamba mabadiliko ndani ya chama yanawezekana ikiwa tuu watatumia busara.
sisi vijana wako tuko pamoja katika ujenzi wa nchi hii,Mungu akubariki na akulinde siku zote.

Umefanya vizuri kuungana na na wapuuzi wenzio wa ccm. CDM hawana agenda wala nia ya kujifunza toka kwa uozo wa ccm. Agenda kuu ya cdm ni kuwaelimisha wananchi (umma) juu ya haki zao/zetu na kuwa wao/sisi ndio waajiri na wenye serikali. Mambo mengine ya gamba, rushwa, tume feki, rais wa NEC ni matokeo ya ccm kupoka haki ya wananchi
 
saigoni acha ubabe rudi kundini. Magamba yote yamepigwa chini

Mimi kati ya kifo na CCM mimi nitachaguwa kifo. kama kuoga ni usafi taulo lisingechafuka, CCM ni ile ile, ni chama ambacho kiu yake ni kushinda uchaguzi tu basi, hakipo kwaajili ya kuwaletea watanzania maendeleo. mpaka leo ahadi ya kikwete aliyotimiza ni baadhi ya vibajaj tu na sio vyote, kwahiyo mtu makini kama mimi huwezi kunitoa kwenye mambo ya msingi ukanieleza habari za gamba, hizo ni information za kushare na watu wajinga na sio mimi.
 
Hayo anayoyafanya ******, ni matokeo ya Kazi ya Upinzani.
Bila Dr. Slaa kuanika uozo wa EPA,Kagoda, Deep Green nk unafikiri CCM yenu na JK wenu wangekuwa na guts za Kufanya wanayoyafanya..
Kimsingi ulitakiwa Uupongeze Upinzania kwa Kazi Nzuri wanayoifanya (Hasa hasa Chadema).
Kwa Taarifa yako hivi sasa Maamuzi yote anayofanya JK ni Matokea ya Kazi za Upinzani ukiongozwa na CHADEMA
 
Hapo kwenye RED siku nyingine andika hivi M.K.W.E.L.E
 
nipende kuuangana na watanzania wenzangu kukupongeza kwa uamuzi mgumu uliouchukua wa kusafisha chama cha mapinduzi,kwa mtu yoyote aliyekomaa kisiasa na mwenye busara hawezi kushindwa kutoa pongezi zake kwani ni viongozi wachache sana katika dunia hii wanaoweza kusafisha chama tena kwa kuondoa viongozi wa juu kabisa,hili liwe fundisho kwa wapinzani hapa nchini kwamba mabadiliko ndani ya chama yanawezekana ikiwa tuu watatumia busara.
sisi vijana wako tuko pamoja katika ujenzi wa nchi hii,Mungu akubariki na akulinde siku zote.
Jakaya Kikwete ndio Gamba gumu tafadhali ajilowanishe ajigambue na awaache nyoka wengine waongeze libeneke wasio na magamba magumu
 
Ulizia redio za nchini humu labda watakupa muda wa kutoa pongezi zako mangapi anashindwa kufanya haumusemi ili la kujishaua kufanya wajinga waendelee kuwa wajinga ndio unasifia matokeo wala mwisho haujaja na hautakuja wote mafisadi tu
 
Ni sawa kabisa kumpongeza JK kwa kusikia sauti za wapambanaji na kuanza kutekelez madai ya CDM.Kuwatoa kafara RA,EL na AC bado si kitu,kuna uozo mkubwa ndania ya ccm na serikali yake,JK aonyeshe kama tunavyomtaka CDM afanye.Asituzuge!!!
 
Hivi ni lini ccm walikuwa na agenda ya ufisadi? ni lini wamejichunguza wakaona wakina fulani ndio mafisadi? inavyoonekana hawa watu ni wasahaulifu sana kwa kipindi cha miaka karibu mitano sasa wamekuwa wakikana kwa nguvu zote kuwa kwenye chama chao hakuna mafisadi sasa E.L. R.A na A.C wamewachunguza lini? au vinginevyo wanatumia orodha ambayo cdm waliitoa pale mwembe chai na kwa hiyo hatuna cha kushangilia wala kuwapongeza kwa sababu magamba yaliyoanza kutoka ni sehemu kidogo tu kwenye mkia. hii thread aipeleka kwa aliyemtuma. Kwa kuwa sasa wamekiri rasmi kuwa chama chao kina mafisadi ni wakati mwafaka sasa orodha ile iletwe kwenye jamii ili tuanza kuona kama walichofanya ni chochote
 
Jakaya Kikwete ndio Gamba gumu tafadhali ajilowanishe ajigambue na awaache nyoka wengine waongeze libeneke wasio na magamba magumu
sasa napata mwanga wa maana ya "MAGAMBA" maana sikujua hapo awali, kumbe hawa jamaa ni nyoka!!!!! Mungu apishe mbali
 
Nyoka atabaki kuwa nyoka hata akuchunwa ngozi! Haliwezi kuwa jusi ! Dawa CCM ikate kichwa.......hawana mwenyekiti
 
Hivi ni lini ccm walikuwa na agenda ya ufisadi? ni lini wamejichunguza wakaona wakina fulani ndio mafisadi? inavyoonekana hawa watu ni wasahaulifu sana kwa kipindi cha miaka karibu mitano sasa wamekuwa wakikana kwa nguvu zote kuwa kwenye chama chao hakuna mafisadi sasa E.L. R.A na A.C wamewachunguza lini? au vinginevyo wanatumia orodha ambayo cdm waliitoa pale mwembe chai na kwa hiyo hatuna cha kushangilia wala kuwapongeza kwa sababu magamba yaliyoanza kutoka ni sehemu kidogo tu kwenye mkia. hii thread aipeleka kwa aliyemtuma. Kwa kuwa sasa wamekiri rasmi kuwa chama chao kina mafisadi ni wakati mwafaka sasa orodha ile iletwe kwenye jamii ili tuanza kuona kama walichofanya ni chochote
kwenye red hapo ni MWEMBEYANGA, TANDIKA (baadaye katika historia pataitwa "revolution square")
 
Dah kaka unatisha!!!!coz kama unauwezo wa kufikiria hayo,u have a lot to do kuongeza ram yako....
Haya yote aliyoyafanya huyo jk si kwa kupenda kwake.....kaa chini ifikirie upya....
 
Back
Top Bottom