mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,718
kwa hiyo ww ndo yule dem wa udbsKaribuni UDSM madogo, Mimi ndo makamu wa raisi wa serikali ya wanafunzi pale
kwa hiyo ww ndo yule dem wa udbsKaribuni UDSM madogo, Mimi ndo makamu wa raisi wa serikali ya wanafunzi pale
Hayo matusi sasa mkuu, alafu admission number yako naifahamukwa hiyo ww ndo yule dem wa udbs
umeona eeeeh....hahhahah watu wanashangilia majina matamu ya faculties zao baada ya miaka 4 wanang'aza sharubu mtaanii
ndo nakuuliza ww ndo huyu dem shamira mshangama vpHayo matusi sasa mkuu, alafu admission number yako naifahamu
Naomba kubebwa mrUdsm mojaaa,metallurgy and mineral processing engineering
Naomba kubebwa man wangu niko ud mwaka wa tatu bsc with eduMechanical engineering..
*shikamoo TCU*
Dah!!kuna wadau wawl na ww wa tatu brotherNaomba kubebwa mr
Msaada wa link ya kuangalizia majina tafadhaliNimeona Wachaga wengi sana.
Nitafutie bas man tusaidianeDah!!kuna wadau wawl na ww wa tatu brother
Karibuni UDSM madogo, Mimi ndo makamu wa raisi wa serikali ya wanafunzi pale
Wewe Ndio Mshangama ShamiraKaribuni UDSM madogo, Mimi ndo makamu wa raisi wa serikali ya wanafunzi pale
Nishawaiwa kaka...Udsm shule ni ngumu watu wangu wa nguvu ukifanya ujinga kidogo tu unaenda kulima
Poa asee nitafutie rafiki zako bas mkuuNishawaiwa kaka...
poa poa subilii nichekii nao...Poa asee nitafutie rafiki zako bas mkuu
Poa aseepoa poa subilii nichekii nao...