Hongera kwa wote waliochaguliwa kwenda UDSM

Kuna taarifa ambazo sina uhakika nazo sana kwamba wanafunzi 38 kitivo cha sayansi ya mawasiliano wamedisco,hao walikuwa mwaka wa kwanza 2015/2016 ambao wanaingia mwaka wa pili 2016/2017.
Kusoma tu ndo njia pekee ya kukufanya ufanye vyema.Yeyote aliyechaguliwa Economics and Statistics hapo UDSM akipita kwenye huu uzi awasalimie sana.
 
Back
Top Bottom