Hongera kwa wote walioamua kuoa

Hakuna lolote nyinyi ndio watu mbao mnateseka sana na maisha ya useja na mnatamani sana kuoa kuishi na mke
Ila changamoto mliyonayo inajulikana.

Na sio yenu pekeyenu hiyo changamoto ni common kwa maisha haya ya sasa kwa kila mwanaume anayetafuta mwenza wa maisha.

Maisha ya sasa kupata mwenza sahihi imekuwa mtihani mkubwa ila chakushangaza wanaume wanawalalamikia wanawake uwongo/kuzingua pindi unapomuonesha nia ya kutaka kumuoa.

Hali kadharika kwa wanawake pia kulalamika kuzinguliwa pindi tu aanapoonesha kukubali kuwa na mwanamme kwa hali yoyote ili kuingia nae ndoani Yaan imekuwa tabu tupu vululuvululu

Kilichopo nyinyi mmekata tamaa kwa kutompata sahihi kwenu
Msitake kutuaminisha uwongo wakt COMMENT na THREAD zenu za nyuma zinajielezea tabu kwenu ipo wapi

Na sema hakuna asiyependa KUOA KUOLEWA tabu ni kumpata mtu sahihi wa kuingia NDOANI shida inaanzia hapo na ukiangakia umri unazidi kwenda aisee tabu tupu
Kwakweli hoja yako ina ukweli ndani yake.
 
Mwanangu wewe ndio kama mimi, na umri wangu unaenda na sijaoa, hapa nawaza sana yaani, ila ukitaka hii hali itutoke tusitafute wanawake wa abmotuk tu, tutafute wanawake ambao ni marafiki zetu kabisa, mbali na wapenzi.

Well said
 
Tafuta chumba kikubwa weka vitanda viwili...ukijiskia kulala alone unahama kitanda mbona easy...tu.
 
Hakuna lolote nyinyi ndio watu mbao mnateseka sana na maisha ya useja na mnatamani sana kuoa kuishi na mke
Ila changamoto mliyonayo inajulikana.

Na sio yenu pekeyenu hiyo changamoto ni common kwa maisha haya ya sasa kwa kila mwanaume anayetafuta mwenza wa maisha.

Maisha ya sasa kupata mwenza sahihi imekuwa mtihani mkubwa ila chakushangaza wanaume wanawalalamikia wanawake uwongo/kuzingua pindi unapomuonesha nia ya kutaka kumuoa.

Hali kadharika kwa wanawake pia kulalamika kuzinguliwa pindi tu aanapoonesha kukubali kuwa na mwanamme kwa hali yoyote ili kuingia nae ndoani Yaan imekuwa tabu tupu vululuvululu

Kilichopo nyinyi mmekata tamaa kwa kutompata sahihi kwenu
Msitake kutuaminisha uwongo wakt COMMENT na THREAD zenu za nyuma zinajielezea tabu kwenu ipo wapi

Na sema hakuna asiyependa KUOA KUOLEWA tabu ni kumpata mtu sahihi wa kuingia NDOANI shida inaanzia hapo na ukiangakia umri unazidi kwenda aisee tabu tupu

Punguza povu mkuu
 
Ila kisaikolojia hii hali ipo.. Unakuwa kabinafsi binafsi hiviii, hutaki kubanwa, hutaki kuombwa tumizi halafu miaka inaenda cha maana unachofanya hakuna, wenye ndoa wanakuzidi vyote mpaka migogoro...
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Aisee kulala na mwanamke kitanda kimoja ndani ya wiki moja tu sio mchezo yaani kwangu mimi ni kero ya hali ya juu sana na inahitaji uvumilivu wa kiwango cha mwendo kasi!

Imagine kwa wanaoishi na wake kitanda kimoja miaka na miaka wanastahili tunzo aisee

Mwanamke akilala kwangu siku mbili tu naboreka! Napenda zaidi short time sipendi kulala tumebanana kama jela.

Umechoka kulala nae tu je akianza kuongea kama cherehani hata ule muda ambao wewe unataka ulale yeye anakupa umbea wote wa mtaani wakati hata kutembea hatembei si utampiga bomu wewe ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom