Umoja wa Watanzania waishio Australia umempöngeza rais Kikwete kwa kukuza uchumi wa nchi,na kuifanya Tanzania kuwa ni miongoni mwa nchi 10 dunian,ambazo uchumi wake unakua kwa kasi sana.
Pia wamempongeza kwa kuruhusu uhuru wa habari,kwani japo wao wapo ughaibuni lakin wanapata habari
sosi:habari kwa ufupi ya saa kumi alasiri@ radio one
It is encouraging !!! Kumbe kuna wanaoyaona mazuri ya JK ?? Nilizoea kusoma madongo tu !!
Uchumi unakuwa kwa kasi ya kurudi nyuma!!
Umoja wa Watanzania waishio Australia umempöngeza rais Kikwete kwa kukuza uchumi wa nchi,na kuifanya Tanzania kuwa ni miongoni mwa nchi 10 dunian,ambazo uchumi wake unakua kwa kasi sana.
Pia wamempongeza kwa kuruhusu uhuru wa habari,kwani japo wao wapo ughaibuni lakin wanapata habari
sosi:habari kwa ufupi ya saa kumi alasiri@ radio one
yes yes yes and now the USD is 1900 kweli uchumi unakua
LOL!!Uchumi unakuwa kwa kasi ya kurudi nyuma!!
LOL!!
You are very funny!
Tuna mengi ya kushangaa Tanzania mwaka huu! Yaani ile ya juzi wa wasomi wetu wa mlimani kumtunuku jamaa udaktari wa heshima wa sheria kwa kushindwa kusimamia sheria zilizopo zifanye kazi haijapoa vichwani, leo hii wanajitokeza wengine wanampongeza kwa kukuza uchumi aliouua kabisa!! Ama kweli duniani kuna mambo!!!
Ni kweli uchumi unakua kwa kasi sana si mnaona inflation ni 17% pamoja shilingi imeongezeke thaman dhid ya $<1$= 1800> hongera jk na watanzania wa aus
labda wenzetu wana vyanzo vyao,but kwanin jeykei asiwashushue?
Ujue jeikei ni kilaza yani anajua ni kweli uchumi unakua kwa kasi,hv degree ya uchumi aliyopata ni hipi? Hata mtoto wa std 7 hakubali
toka lini mbeba box akawa na akili ya kutambua uchumi unakua au kuporomoka.