"Hongera JK kwa kukuza uchumi"-watanzania wa Australia

Nina wasiwasi na hii habari inawezekana wameichakachua kabisaaaaaa!!
 
Tuna mengi ya kushangaa Tanzania mwaka huu! Yaani ile ya juzi wa wasomi wetu wa mlimani kumtunuku jamaa udaktari wa heshima wa sheria kwa kushindwa kusimamia sheria zilizopo zifanye kazi haijapoa vichwani, leo hii wanajitokeza wengine wanampongeza kwa kukuza uchumi aliouua kabisa!! Ama kweli duniani kuna mambo!!!
 
pamoja na waandishi wake,wamekutana na watz wanao ishi huko wao wakaongeza chumvi hainiingii akilini kwamba wa tz wa huko hawajui kinacho endelea huku
nani sasa aloichakachua?wale jamaa wa Australia?radio one?jeikei mwenyewe?[/COLOR]au mleta UZI?
 
Dola moja ya Marekani leo hapa Arusha tarehe 27/10/2011 inanunuliwa kwa shilingi 1800 kweli uchumi unakua kwa kasi mno!

Huo uchmi umekuwa wapi wakati hakuna strategy za gvt kuwekeza kwenye ajira? jamani mwenye strategy za ukuaji wa ajira atujuze hapa kwani nijuavyo kule shule ya msingi niambiwa ' kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi wa nchi'. kule kijijini wanategemea kilimo cha kahawa, korosho, pamba na mahindi ili wauze nje ya nchi wapate dola ambazo zitaongeza thamani ya shs. Leo hii thamani ya shs 1800 kwa UDS $ 1 eti uchumi umekuwa. Naogopa ktuma hela zangu za kufanya biashara kwani shs inatisha sasa.

Mimi niko Australia lakini mbali sana na huko Perth( siku tatu kwa gari au masaa 7 kwa ndege) ila ningekuwepo huyu JK angeingia mitini.
 
Mkuu hiyo wala isikupe shida kurugenzi ya habari ya ikulu ndiyo inapamba hii habari eti umoja wa watanzania waishio Australia? Pambaf huo umoja wa baadhi ya watanzania waishio Perth na si watanzania waishio Australia. Kama kweli uchumi unakua kwa nini habari ipikwe? Those so called umoja they are just speaking for themselves not for you or me and have no authority to do so!!!! Hukawii kusikia kuna tawi la CCM Oz, hahaha ahahaha ahahaha ahahah!!!!!!!!!!
 
Hao waliompongeza ni wale waliotelekeza ndugu zao hata hawajui wana hali gani huko home, uchumi gani usiomkomboa the common mwananchi dollar juu sukari juu chakula juu enyi wabongo kama uchumu uko poa rudini bongo ili nanyi muonje jot ya jiwa. Chezaaaaaaaaaa
 
Mkuu hiyo wala isikupe shida kurugenzi ya habari ya ikulu ndiyo inapamba hii habari eti umoja wa watanzania waishio Australia? Pambaf huo umoja wa baadhi ya watanzania waishio Perth na si watanzania waishio Australia. Kama kweli uchumi unakua kwa nini habari ipikwe? Those so called umoja they are just speaking for themselves not for you or me and have no authority to do so!!!! Hukawii kusikia kuna tawi la CCM Oz, hahaha ahahaha ahahaha ahahah!!!!!!!!!!

Mkuu sasa hawa watu Ikulu nao jamani mbona waharibu hivi? WaCCM wa kule Uk wakaniambia eti nifungue Ofisi ya CCM OZ nikamwambia huo muda ni wangu pamoja na kuwasaidia familia yangu na kungalia bishara zangu na kuwekeza kwenye jamii ndogo niliyotoka siyo kuweka vikao vijiweni kama walivyo wengine niwajuao huko Sydney city. CCM ush.enzi mtupu jamni mbona kama uchumi umekuwa kwa nini waombe tena misaada nje? au ni hizo vijisent tunavyotuma nyumbani na kurekodiwa na hizo benki kuwa dola ziko nyingi hazina na kuchapisha hayo makaratsi??? ya noti za shilingi?
 
mi napenda nijue toka kwenu nyie watz wa ughaibuni mara nying huwa oakua mstari wa mbele kuicfia govt hata kama c kweli,sasa mfano wewe umekiri kua hao wanaocfia ni wanafki,maana there is no reality.je huwa hampat muda wa kukutana na kujadiliana kuhusu nch yenu?
 
Mkuu wala usizugwe na propaganda za kina Salva, utaisifiaje serikali ambayo hata kutekeleza basic needs za mwananchi kama maji for 50 years????? Dar ambako ndi makao makuu ya serikali maji ya visima just 2.5 km kutoka ikulu hallafu useme eti unasifia JK na serikali?
 
Mkuu sasa hawa watu Ikulu nao jamani mbona waharibu hivi? WaCCM wa kule Uk wakaniambia eti nifungue Ofisi ya CCM OZ nikamwambia huo muda ni wangu pamoja na kuwasaidia familia yangu na kungalia bishara zangu na kuwekeza kwenye jamii ndogo niliyotoka siyo kuweka vikao vijiweni kama walivyo wengine niwajuao huko Sydney city. CCM ush.enzi mtupu jamni mbona kama uchumi umekuwa kwa nini waombe tena misaada nje? au ni hizo vijisent tunavyotuma nyumbani na kurekodiwa na hizo benki kuwa dola ziko nyingi hazina na kuchapisha hayo makaratsi??? ya noti za shilingi?

Unajua kuna watu kule bongo wanaaminishwa kwamba Oz ni kama UK ambayo ndani ya siku moja unaweza kuzunguka karibu yote. Australia Tanzania zinaingia nane na chenji juu. Huko UK, Marekani mambo ni tofauti sana na Oz ndiyo maana wana hata huo muda mchafu wa matawi ya CCM.
 
Mkuu wala usizugwe na propaganda za kina Salva, utaisifiaje serikali ambayo hata kutekeleza basic needs za mwananchi kama maji for 50 years????? Dar ambako ndi makao makuu ya serikali maji ya visima just 2.5 km kutoka ikulu hallafu useme eti unasifia JK na serikali?

oh,umenikumbusha,baada ya kuoga tu maji yamekatika,ila umeme ulikatika kabla sijaenda oga
 
hii nchi inabandari, madini, mbuga za wanyama na ardhi yenye rutuba, kimojawapo kinatosha kuendesha nchi, lakin wapo wezi wanamagamba wanahujumu nch. hao wabongo wa AUSTRALIA ni wajinga, hawajui maana ya ukuaji wa uchumi kwa kulinganisha na 2livyonavyo
 
Inawezekana huo umoja wa watanzania ni Balozi aliyeteuliwa na Mganga Jk na familia ya huyo balozi.Kwa hiyo habari hii wala hainishangazi
 
Hivi nyie watu wa Australia mna mawasiliano na watu wa nyumbani? Uchumi gani umekuwa sasa? au mnampamba tu ili aweze patiwa phd nyingine ya uchumi sio

Mie nashindwa kuelewa. Labda hayo mnayoyaita ma-macro-level yenu maana kwa muda sasa nimekuwa nikisikia sijui unakuwa kwa asilimia 7 mara 6 oh single digit na takataka gani sijui but as long as whatever you call ukuaji wa uchumi haina trikle down effect kwenye maisha ya mtanzania halisi haina maana. Mnatamba mko among nchi 10 zenye uchumi unaopaa lakini bado hali ya maisha ni duni kwa watanzania walio wengi, gap kati ya walionacho na wasionacho linazidi kuwa pana .............. uchumi gani huo unaokuwa? au ni hayo manamba tu?
 
The economy has been steadily growing over the years.
Evidence: There are more wealthy people, cars, motor cycles, taxis, bajajis, in Dar and the rest of the country in 2011 compared to 1990's and 1980's.There are more modern hotels, TV stations, bloggers, cell phone and internet users than ever before. Tourism sector is booming! There are more universities in Tanzania and Zanzibar than any other country in the EAC. The middle income class is growing very fast in Tanzania.
Numbers don't lie!!
are you refering to INDIAN economy??speak for your country please leave ours alone...
 
Me nadhani hawa nao pia huwa wanatumiwa na viongozi,vinginevyo huko Australia wanatalii hawajui uhalisia wa maisha ya mtz kwa sasa.
 
Back
Top Bottom