- Thread starter
- #21
Hao sio watanzania ni waaustralia hawajui lolote kuhusu nchi yetu,ndio maana wanapongezana kwa ujinga pumbavu sana.
labda wenye asili ya asia
Hao sio watanzania ni waaustralia hawajui lolote kuhusu nchi yetu,ndio maana wanapongezana kwa ujinga pumbavu sana.
labda wenye asili ya asia
Uchumi unakua au unaporomoka kwa kasi?Uchumi utakuwa vipi wakati umeme hakuna?Viwanda vingi vimefungwa na shilingi imeshukaUmoja wa Watanzania waishio Australia umempöngeza rais Kikwete kwa kukuza uchumi wa nchi,na kuifanya Tanzania kuwa ni miongoni mwa nchi 10 dunian,ambazo uchumi wake unakua kwa kasi sana.
Pia wamempongeza kwa kuruhusu uhuru wa habari,kwani japo wao wapo ughaibuni lakin wanapata habari
sosi:habari kwa ufupi ya saa kumi alasiri@ radio one
Unauhakika gani wanakula bata?Hawa wajinga wako nchi ya watu wanakula bata, ya huku hawayajui wana bwabwanya tu. Hivi hawawasiliani na wanyumbani? Wanadanganya na figure za kupika kwa makusudi kumpa chati mk.were.
Unauhakika gani wanakula bata?
wana asili ya tanzania,wameondoka huku miaka mingi iliyopita,wameisha poteza mawasiliano na jamaa,marafiki na ndugu zao walio waacha tanzania.
Ni watoto wa wakubwa hao na ndiyo maana wanamsifia huku wananchi wa kawaida wanaumia.